Wanawake wenye misambwanda hawanivutii kabisa

Wanawake wenye misambwanda hawanivutii kabisa

Kweli mkuu,hapa kitaa wanaelewa kabisa kuwa mimi na vimbaumbau tu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
People we differ & that's normal mkuu
 
Ukimuona Dereva anaiponda Gari ya Manual ujue hajui namna ya kuitumia maana ladha yake inategemea ujuzi wako!
 
Ukimuona Dereva anaiponda Gari ya Manual ujue hajui namna ya kuitumia maana ladha yake inategemea ujuzi wako!
Mkuu najua sana kuitumia na ushahidi ninao
 
Mie nabisha, weka ushahidi

Sambwanda achana nalo, inafika wakati unajiona Wewe ni zaid ya Ukawa wa Mengi na Bakhresa! Hajahah
Njoo mtaa wa kwetu uulize watakwambia

Ukonga Kwa Temba
 
mimi misambwanda wananipendeza kuangalia tu sio kwenye 6*6

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom