BeeeCajojo
Misambwanda tuachie sisi wenye viungo vya uzazi vikubwa!!Sijui kwanini me sipendi warembo wanene,yani akipita kimbaumbau utaona mijicho inavyonitoka.
![]()
Sijui ile wanaita misambwanda na mimi vitu viwili tofauti,siwezi kupoteza mda wangu kugeuka nyuma kuusindika Kwa macho msambwanda.
Sasà kakipita kadogo Dogo hivi basi kamoyo kanaanza kwenda mbio mbio bhana
Ila kama unajijua upo kama hawa hata usinishobokee maana wee sio wa type yangu
![]()
h
![]()
Deadbody
Hahaha me ndio siwapendi sasaTukupeleke makumbusho[emoji23][emoji23][emoji23]....
Msammbwanda ni mwiba lazima ukuchome
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa mkuu umenikumbusha kakaangu alioa mwanamke mwembamba sasa baada ya miaka miwili ikabidi waende kusalimia wazee mke yuko vilevile et wazee wanauliza kwani unamfanya nn mbona haongezeki au unampiga?? Hii inaweza kuwa kweliKwani Ulaya hakuna wanawake wanene. Sikiliza, nasema, wanawake wanene ndiyo maumbo ya taste ya kiafrika. Siwasemi mabinti zangu wembamba, hapana. Nasema, kama ilivyo Ulaya wamama wanene siyo taste yao wazungu (ingawa wanawake wanene kule Ulaya bado wana haki zote) ila si unajua wazungu hawapendi pendi. Likewise huku kwetu pamoja na haki zooote kwa wamama wembamba lakini for real African mmmmh siyo taste Yetu. Ukienda kule kwetu(usiniulize) kama mke wako kwa miaka miwili hajaongezeka, oooh you are in trouble, utaitiwa Wazee unaulizwa una tatizo gani kimaisha. Eeeh and that's African.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasemaje kuhusu kashifa ya kunuka kunako nanilii sababu ya joto kweli..!
we una bigass