utakua unapenda wanawake matured,ungekua unatongoza wanawake wa umri wako usingejua haya ya wanawake watu wazima kuwa wepesi, haya tukuulize nini kinachokupeleka kutongoza wanawake watu wazima? eti?
Kuzaa wapi? Kwa wasio na bahati menopause inaanza wakiwa na 35yrs! Unaoa mtu wa hivyo kweli? Labda kama tayari una watoto from previous relationships otherwise shelf life kwisha hapo.Na katika uhalisia wa maisha, ukipata wa age hizi na yuko sawa tena anakuelewa, yuko imara na uwezo wa kubeba mimba na kuzaa hawa ndio wa kuoa. Hawa ndio wakukaa meza moja na kupanga maisha. Wanakuwa ving'ang'azi kwasababu wanakuwa washachoka kuhangaika na wanataka kupumzika zao wafanye maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza wana ladha amaizing na pia akiamua kukupa anakupa vizuriutakua unapenda wanawake matured,ungekua unatongoza wanawake wa umri wako usingejua haya ya wanawake watu wazima kuwa wepesi, haya tukuulize nini kinachokupeleka kutongoza wanawake watu wazima? eti?
DuuuuHata mimi nikifika hiyo age nagawa bure tu. Nifiche ili iweje? Kuna age mwanamke akifika anakua hana hasara.
Sent From Galaxy S20 Ultra
Hata mimi nikifika hiyo age nagawa bure tu. Nifiche ili iweje? Kuna age mwanamke akifika anakua hana hasara.
Sent From Galaxy S20 Ultra