Hapa kuna ukweli kabsaHata mimi nikifika hiyo age nagawa bure tu. Nifiche ili iweje? Kuna age mwanamke akifika anakua hana hasara.
Sent From Galaxy S20 Ultra
Bila picha?
AmnaHapa kuna ukweli kabsa
stidy
Ahaaa nmeelewa ssHao inayoonesha SM wanatumia Tapatalk... mimi natumia JF app...
Sent From Galaxy S20 Ultra
mbona mweusi sana?
Nafanya booking mkuu. Niambie itakuwa mwaka gani.Hata mimi nikifika hiyo age nagawa bure tu. Nifiche ili iweje? Kuna age mwanamke akifika anakua hana hasara.
Sent From Galaxy S20 Ultra
Teyar kawa Mzee MkuuNa katika uhalisia wa maisha, ukipata wa age hizi na yuko sawa tena anakuelewa, yuko imara na uwezo wa kubeba mimba na kuzaa hawa ndio wa kuoa. Hawa ndio wakukaa meza moja na kupanga maisha. Wanakuwa ving'ang'azi kwasababu wanakuwa washachoka kuhangaika na wanataka kupumzika zao wafanye maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekonda mnoMweupe huyo hapo...!
View attachment 1441880
Viben ten mnavyo vileaDuu aisee noma na wanaume wanakuwa ving'ang'anizi umri gani.
121.
Acha kupotosha nenda min market uone kama bei ni tofautiHata sokoni machungwa ya juzi na ya Leo bei tofauti..
Si upo Gaborone? Ntatimba huko soon.Bado kama miaka kumi na tano hivi
Sent From Galaxy S20 Ultra