2one picha ya mkeo Mkuu
Usichelewe sana basiii!!Hata mimi nikifika hiyo age nagawa bure tu. Nifiche ili iweje? Kuna age mwanamke akifika anakua hana hasara.
Sent From Galaxy S20 Ultra
Kwa nini mkuu..unaweza kutoa sababu…??
Na hii corona unaenda wapi?Si upo Gaborone? Ntatimba huko soon.
Ishaisha hii mkuu🙌Na hii corona unaenda wapi?
Sent From Galaxy S20 Ultra
nadhani wengi unakuta ni masingle mama au wajane ..na kwa kipindi hicho wanakuwa tayari wameshapoteza matumain ya kuolewa tena..so wakikukubali hawaoni issue kukupa mzigo...the good thing about this madame they got no hard feeling and no strings attached...we piga mzigo baada ya hapo ukizingua kila mtu anakula 50 zake
mnhh wanaosumbuliwa na mawazo ya kuolewa ni wale walio nje kidogo ya umri wa kuolewa..may be 28-38 years,yaani uwe na miaka 48 mawazo ya kuolewa yakusumbue??..utakuwa na walakini..nachojua ukifika huu umri unakuwa ume accept ndoa is more unlikely....na pia utakuwa ushaanza early stages za menopause..so kumpa mtu papai sidhani kama ni priority , though kuna exceptions.....
Ametaipu manuale. Hata kwenye app haionyeshi aina ya simu unayotumia. Unafikiri angekuwa na TECNO kama miye hapa angeruhusu ionekane?Kwann kwako imeandika S20 Ultra na sio
SM-G988 kama kwa wengine





Asiyejua maana haambiwi maana.Acha kupotosha nenda min market uone kama bei ni tofauti
Najua ila lazima uwe mpole muda mwingineAmetaipu manuale. Hata kwenye app haionyeshi aina ya simu unayotumia. Unafikiri angekuwa na TECNO kama miye hapa angeruhusu ionekane?![]()

Acha bwana Basi naweka orderHahaha bado miaka mingi mzee. Usinizeeshe haraka
Sent From Galaxy S20 Ultra




Oouh asante kwa uzoefu mpendwa...kwa hiyo hata hili la hamu ya mapenzi nalo la uongo?Hii ni imani tu haina ukwel wowote