Kwanini Wanawake walio na Umri kati ya Miaka 38 hadi 48 ni wepesi sana Kutongozeka halafu ni Ving'ang'anizi sana Kimahusiano? Uzoefu wenu unahitajika sana Wandugu juu ya hili Suala nililolileta hapa mbeleni yenu kwani lipo sana tu.
Wengi wanakuwa wameanza kupungua mvuto wao wa usichana na dada zetu walivo hawajui kutunza miili yao basi mvuto unapotea kabisa. Hivyo akiringa mpaka aje apate mwingine sio leo.