Wanawake wenye kazi wengi wao

Wanawake wenye kazi wengi wao

Siyo Kweli no kutokana name mtu lakini wengi wao wanamatatizo huwezi kumbabaisha na lolote aic hutasikia me kazi yangu ataukitaka nikulishe au nikutunze naweza unasemaje??
 
halafu wanaume hawapendi wanawake wanaowachallenge!

Wanataka uwakubalie mawazo yao, ndo maana wengine utaskia mi sioi msomi wasumbufu, na sababu zingine nyiingi hawana lolote.
 
This typa thinking shows who really is the inferior one.
 
Wanataka uwakubalie mawazo yao, ndo maana wengine utaskia mi sioi msomi wasumbufu, na sababu zingine nyiingi hawana lolote.

ndio hicho tu. na akitoa wazo ukalipinga hata kama una sabb za maana ataona unamdharau. yaani wanataka mwanamke atakaekuwa anakubali kila kitu. maisha ya sahv hayapo hivo. unapokumbana na changamoto ndio unaelekea kwenye mafanikio.
mambo kusaidiana. halafu hawajui watoto huwa wanarithi sehemu kubwa ya akili kutoka kwa mama zao, sasa wanaoogopa kuoa wanawake waliosoma kazi kwao.
 
Mkuu umefanya generalization kubwa sana. There are some of women with their career thriving and yet they are the best wives a man can get. I think the most important thing is for the two to agree once they are in the house, kila mtu ajue role yake in the house as a wife or husband and everything will run smoothly. Kwangu mini, I will prefer a lady who is working!!!

Great mind!
 
kwa kiasi kikubwa ni kweli coz wengi wanashindwa kutambua majukumu ya mipaka yao kila mtu anataka kuwa na mamlaka hivyo wa cku ni kuachwa na wale walio sona sana kwa kiasi kikubwa hawana wanaume wanaishia kutumika tu cha msingi wabadilike tyuuu .
kutokana na hapo kwa utafiti wangu mdogo mwanamke anapotapa elimu zaidi kwenda juu ama anapotoka eneo moja la kijiografia kwenda eneo lingine saikolojikale wanakuwa na tabia za ajabu so elimu wanazopata zinawaharibu kwa kiasi fulini. ni wazo tuuu wakuu.
 
Back
Top Bottom