Wanawake wenye kazi wengi wao

Wanawake wenye kazi wengi wao

hello jf
nimejifunza jambo hili moja kwamba wanawake waliona kazi na waliokwenda shule siyo wife material kwa sababu eti huthamini kazi kuliko waume zao hivyo basi huishia kuachika mapema
je kweli?

Kama mwanaume sio husband material asitegemee kupata wife material.. hata akaoe asiyejua kusoma....

Ndege hufananao huruka pamoja
 
ukiona mwanaume kaoa mwanamke mwenye kazi yake nzuri ujue huyo jamaa ni mvivu na ni mariooo AKA Yahaya...
 
So usiposoma na usipokuwa na kazi basi wewe ni wife material tayari? Inategemea na akili ya mtu coz kwa mwanamke anayejua kutofautisha majukumu yake ya kikazi na familia basi hatoachika kwa kutokuwa wife material. Na kuna wanawake wengine hawajasoma but wamejiajiri, hawa nao sio wife materials?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

kama anakipato? Lazima kadharau tu ila siyo wote kuna wengine anweza kuwa na elimu ya kutosha tu na akawa mnyenyekevu but it is very seldom
 
Mkuu umefanya generalization kubwa sana. There are some of women with their career thriving and yet they are the best wives a man can get. I think the most important thing is for the two to agree once they are in the house, kila mtu ajue role yake in the house as a wife or husband and everything will run smoothly. Kwangu mini, I will prefer a lady who is working!!!
 
kama anakipato? Lazima kadharau tu ila siyo wote kuna wengine anweza kuwa na elimu ya kutosha tu na akawa mnyenyekevu but it is very seldom

Aaaah kwa hiyo ungesema tu wanawake wenye vipato sio wife materials. But kwa dunia ya sasa ni wanaume wachache pia wanaopenda kuoa wanawake tegemezi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
So usiposoma na usipokuwa na kazi basi wewe ni Iwife material tayari? Inategemea na akili ya mtu coz kwa mwanamke anayejua kutofautisha majukumu yake ya kikazi na familia basi hatoachika kwa kutokuwa wife material. Na kuna wanawake wengine hawajasoma but wamejiajiri, hawa nao sio wife materials?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Labda huyu aliyeleta hii mada atuambie yeye ameoa yupi mana sisi.tulioa waskipsoma tena hadi Phd hatujaonatatizo. Mada hii haina mashiko!!
 
duh!! hii inaonyesha ni jinsi gani tulivyoyashika maisha yenu,kila cku kutujadili tuuu, mara wanawake hiki mara wanawake kile!!!!
 
Labda huyu aliyeleta hii mada atuambie yeye ameoa yupi mana sisi.tulioa waskipsoma tena hadi Phd hatujaonatatizo. Mada hii haina mashiko!!

Yeye alimaanisha wanawake wenye vipato whether amesoma or not, huwa wana matatizo yani dharau fulani hivi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu sio kweli kuna wanawake wana elimu kubwa sana lakn ni very heshma.
Cc christine ibrahim my lovely hubby
 
Last edited by a moderator:
wanawake wake wengi waliosoma ni tatizo katika familia...wanajifanya wafemenisti sana, kitu kidogo..wanataka usawa
 
duh!! hii inaonyesha ni jinsi gani tulivyoyashika maisha yenu,kila cku kutujadili tuuu, mara wanawake hiki mara wanawake kile!!!!

wala sii lakushangaa kuwa mmetushika maana kwanza nyie ndio mmetuleta duniani kupitia papuchi zenu
 
Back
Top Bottom