wanawake wengine wazuri jamani!!!

wanawake wengine wazuri jamani!!!

Mkuu hiyo sehemu inatisha hata wahudumu wake. Ulimkuta yule mhudumu anayeitwa Mariam?

Lakini ungempiga kapicha japo kwa kificho ukatuwekea hapa, maana unawezakuta ni mke wa mtu ametoroka nyumbani.
 
Ndo haohao bdaye mnakuja hapa kuwananga ooh wananuka vipapa!! Hawaogi! Mtindi maziwa ugali na samaki loh!!
Hahahahaaaaaa....Sasa kama hajiswafi huko kusini mwa Afrika tumsifie tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom