dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,345
- Thread starter
- #61
mi mwenyewe namtokea toka mwaka 1995
Mkuu huo ubutu gan? Miaka yote hyo!! Bora uniaachie mimi tu
mi mwenyewe namtokea toka mwaka 1995
Pumba tu
Pole sana mkuu, tuko pamoja.Hahahahahhahaa nimecheka hadi nimeanguka hahahaha
Unasubili nini sasa si ukafie mbele!!?
Jana kama ilivyo ada mimi na mwanangu (pamoja na mke wake) tumeenda sehem inaitwa kibo biznenga (maarufu sana kwa nyama nyuma ya best bite)
Ile kuingia tu pemben walikaa watu watatu! Jamaa mmoja na wadada wawili. Sasa mmojawapo ya wadada hao wawili jamaaaaaaniiii!! Ana sura nzuri huyo mdadaa!!! Macho mazuri!!! Figure nzuri!!! Rangi nzuri!!!
swali ni je kuna watu wengine walijichagulia maumbo!!!?
Acha kubabaikia wadada wazur...weng wao hawana kitu...engine inakuaga ni mbovuu kinomaaa
Yaani wewe na mwanao pamoja na mke wa mwanao mlienda bizinenga?
Huyo mke wa mwanao hakuogopi kwamba wewe ni baba mkwe?
Itakuwa ni seriously married hapo anatubu ilikuwaje hakutuliza akili akachukua chombo cha ukwee kama alichokiona ila akachukua............. aliyekuwa nayeSeriously married? I dont think so!!
Mkuu hata mimi nilijiraumu kama wewe unavyoniraumu! Ila kuna moment mtu unakuwa kama umepooza then kuja kushtuka keshasepa!