Rafiki angu kaoayani wewe ni muzee ambaye una mtoto ambae ameoa? au sijaelewa, dah wazee wa siku izi balaa nadhani huyo kijana angekuwa ni bint yako hiyo tathmin ingemuhusu... Dah mbaya sana kama true aisee
walijichagulia maumbo kutoka wapi?
kwani aliyeoa haruhusiwi kusifia kitu kizuri?
Sio kweli, Mungu ndiye anayewaumba hivyo na jukumu la kuwatongoza katupatia sisi wanaume...
Kama umempenda basi mtongoze umfanye awe mkeo.
Kama hauna uwezo basi endelea kula kwa macho na utuache wenye uwezo wa kuzeveza tujibebee...
Umeelewa???
Hii nayo unaita topic? Pyufuuuu
Mungu akiamua kumuumba kiumbe wake anaumba banaaaa!!! We acha tu.
Sio kweli, Mungu ndiye anayewaumba hivyo na jukumu la kuwatongoza katupatia sisi wanaume...
Kama umempenda basi mtongoze umfanye awe mkeo.
Kama hauna uwezo basi endelea kula kwa macho na utuache wenye uwezo wa kuzeveza tujibebee...
Umeelewa???
We kula kwa macho tu!!!
Mimi labda niliwe kwa macho ha ha haHivi na nyie huwa mnakula kwa macho?
Hawa "vikongwe" wakiulizwa kwa nini wana-behave hivyo, wanasingizia kuwa "ng'ombe hazeeki maini"yani wewe ni muzee ambaye una mtoto ambae ameoa? au sijaelewa, dah wazee wa siku izi balaa nadhani huyo kijana angekuwa ni bint yako hiyo tathmin ingemuhusu... Dah mbaya sana kama true aisee
nadhani amekuelewa.........
ungekuwa Mwalimu wanafunzi wangefurahi sana........
Mimi labda niliwe kwa macho ha ha ha