Wanawake wengine hawajui kusamehe


Ameeen, asante sana nawe pia uwe na weekend njema .
 
Mkuu Kiwa, hii ni hadithi tuu au ni kweli?!. Kama ni kweli, nani amekupa ruhusa kuingilia "rights to privacy" ya mambo binafsi ya watu, kuyaleta in public?!, na unapotokea msiba, hizi sio story za kuleta, kwa sababu hapa utembebesha lawama za bure huyo mke as if kutokusamehe ndio kulikosababisha Rob apoteze maisha!. Rob saa yake ilikuwa imefika!.

Pia nina mashaka kidogo kama kweli huyo mwanamke ni binti kweli wa Kisukuma, kwa sababu ukioa binti wa Kisukuma ukweli ukweli, hakunaga mgogoro wa aina yoyote unaoweza kupelekea mke kurudi kwao!. Hawana tatizo wivu, na hata ukiamua kumleta nyumbani, anaweza kukupisheni chumbani na yeye akalala sebuleni!, sasa kijimgogoro gani kilimpelekea binti wa Kisukuma kurudi nyumbani kwao?!.

If at all its true!, then, Rip Rob!.

Pasco
 
Kuna tofaut ya msamaha na kufanya kile ambacho mlikuwa mnafanya kila siku,unaweza ukamsamehe mtu ila siyo kurudiana nae....sijui kama ndicho kilichotokea
 

Mkuu nimeandika kwa uzuri kabisa bila kutoa privacy yoyote ya Rob na mke wake..
Na sidhani kama mtu kurudi kwao ni jambo la siri..

Lengo langu ni watu wajifunze kusamehe!!
Hata giza halijaja...
 
Kuna kitu hakipo sawa kwenye tafsiri ya mleta mada, anyway R.I.P Rob, lakini maisha yako ni maamuzi yako binafsi, mwanamke hana cha kulaumiwa kabisaaaaa
 
Mara nyingi wanawake wanasamehe mdomoni na si kutoka moyoni, hata iweje lakini ni hivyo, once akisema kasamehe ujue bado yako moyoni, subiri itokee kamgogoro kengine ndio utajua kuw awali ulisamehewa aka vipi.... Inaumiza sana katika maisha Kwa ujumla...
 
Kusamehe ni.kwa ajili ya aliyekosewa si aliyekosea!!
kusamehe kunahitaji.more than just a mere liking someone !!Ni zaidi ya tunavyoamini!!
Unasamehe kwa kuwa hutaki.kubeba mizigo.ya mtu.mwingine
Unasamehe because you have a big heart
Unasamehe kwa kuwa kukosea ni ubinadamu ukamilifu ni wa Muumba
Unasamehe kwa kuwa kutokusamehe ni kujitesa!!
Samehe kwa ajili yako si yule aliyekukosea!!
Samehe kwa ajili ya afya yako ya akili,mwili.na roho!!
 

bushushu IPI kaka mke Niko karibu na komu
 


copied.
 
Mpaka wakati huu cjamsamehe boyfriend wangu...mmmhh!!!!...it's okay lakini.
 
nina tatizo la kutokusamehe
Mungu anisaidie
yaani hata kitu kidogo tu napata wakati mgumu kusamehe,
Kama umelijua tatizo ni nusu ya kutatua. Jitahidi usamehe maisha mafupi.
 
Katika kesi hii Labda kiwatengu tuambie bidada hakusamehe kabisa au alisamehe akakataa kurudiana naye?

Mkuu everlenk ki ukweli siku dhamiria kuandika sana kuhusu huyu dada (mrembo) ambaye watu wengi walishajaribu kumshawishi arudiane na mume wake lakini akagoma..

Huyu dada ni mzuri as alivyoolewa na expensive man!! naona akapanda zaidi, i know her since she was at O-level kasomea Rajani secondary na ni msukuma (mnyantuzu) wa Bariadi...
Kikubwa kwake nafikiri ni ile kujiona si mtu wa kusumbuliwa na hataki shida..
Inawezekana aliona kuwa anauzika popote!!

Rob alikuwa mstaarabu (namjua) na mwelewa..
Mtu wakujishusha!! mtu mwingine ukishuka ye anataka apae..

Kakutanishwa mara kibao hataki kuelewa..
Tena na watu wenye heshima zao kagoma!!
Sasa sijui huyu shemeji yangu baada ya huu msiba ataenda wapi..atabaki na watoto ambao tayari alikwisha waacha, ataenda nao au atabaki kuwalea..
CC; PesaNdogo, Cyan6
 
Last edited by a moderator:

Lkn bado hatujui kosa la marehemu. Pole kwa wanandugu na marafiki, tujifunze ni vzr ujue personality ya mtu wako ili usipatwe na kisa cha kutosamehewa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…