Wanawake wengine hawajielewi kabisa

Wanawake wengine hawajielewi kabisa

Process yako mbona fupi??! Au ulitaka single mother desperate??! Mana mwanamke kumpenda mwanaume ina take time na kudepend na wewe unavyojichukulia kwake.
 
Pole kwa gelofrendi kuugua muda usiomuafaka, muda wewe unahitaji mkajienjoy yeye anataka umsaidie gharama ya matibabu

Pole pia kwa kudhania singomama hatakiwi kuomba pesa na kwamba akiomba pesa basi hajielewi, labda ujaribu kwa ambae sio singo mama mtaelewana kuhusu hilo

Lakini inawezekana kweli alikua mgonjwa na alihitaji msaada wako;
ama inawezekana pia kipimo ulichokua unatumia kumpima yeye kwamba asiombe pesa, ndio kipimo hicho hicho na yeye ametumia kukupima wewe kwa kukuomba pesa tena ya matibabu ili ajue kama anaingia kwenye mahusiano na mtu anayejali au laa

Wenyewe watoto wa mjini wanakuambia ukitaka mwanaume akuache muombe pesa🤣🤣

Mnazinguaa🙂
 
Mpaka uje uwafahamu wanawake vizuri utaliwa sana hela kijana
Usipokubali Kuliwa Kidogo, Huli
Mzee Kikwete!!!🙄😎😎🙄
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu 😅😄😃😁😂🤣😅😄
Mzee Magufuli!!
 
Vijana wa siku hizi mnalalamika mno. Yaani mnalalamikia hadi majukumu yenu ya kijinsia halafu hadharani😎
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😂😁🤣😅😄😃😁😂🤣
Pesa Imekuwa Ngumu Sana
 
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😂😁🤣😅😄😃😁😂🤣
Pesa Imekuwa Ngumu Sana
Pesa ikiwa ngumu sana dawa ni kuachana na mambo mengine tuu. Haswa ya wanawake🤣🤣
 
Pesa ikiwa ngumu sana dawa ni kuachana na mambo mengine tuu. Haswa ya wanawake🤣🤣
Unakula Ugali Unashiba Huumwi Popote Haa 😀😁😂😅😄
Hapo Lazima Utafute Namna Ya Kutuliza Mihemko !!
Atafute Wa Level Yake Aachane Na Hao Wanaopiga Kichwani
 
kuombwa hela ni kawaida sana,sasa kama huombwi hela utaingiza vipi vocal? Mwanaume yeyote anayejipendekeza kwa mwanamke ni lazima aombwe hela
 
Hakuna mwanamke mrahisi Kama single mum.
Mwisho wa mwezi Kama jana mpitishe Urafiki kwenye soko la jumla, nunulia yeye mchele wa mwezi, viazi vya wiki, unga wa mwezi, mafuta ya kupikia, mkungu wa ndizi Kama Ni mtani nunua mikungu miwili weka kwa gari, maharagwe na karanga kilo tano.nunua na nyama safi pale Zanzibar butchery ya mwezi. Mpelekee nyumbani kwake.
Neut siku tatu........
Angalizo.
Usije ukamnunulia mwanamke wa nje gari au kiwanja au nyumba au kitu chochote Cha kudumu.
 
Dunia inapambana na Single Mama's kama inavyopambana na magaidi.

Natamani kujua hivyo vihela ulivyompa ni kiasi gani hadi utokwe macho kama unafanyiwa tohara ya kienyeji.
Dogo Semenyaaaaaa umeibuka tena. Vipi kibarua chako cha kuchunga mbuzi
 
Hakuna mwanamke mrahisi Kama single mum.
Mwisho wa mwezi Kama jana mpitishe Urafiki kwenye soko la jumla, nunulia yeye mchele wa mwezi, viazi vya wiki, unga wa mwezi, mafuta ya kupikia, mkungu wa ndizi Kama Ni mtani nunua mikungu miwili weka kwa gari, maharagwe na karanga kilo tano.nunua na nyama safi pale Zanzibar butchery ya mwezi. Mpelekee nyumbani kwake.
Neut siku tatu........
Angalizo.
Usije ukamnunulia mwanamke wa nje gari au kiwanja au nyumba au kitu chochote Cha kudumu.
Okay.
 
Kuna single mum nilikua nampa lift ya kwenda mjini kila siku akiteremka kwenye gari Nampa mwekundu wa lunch. Aisee alikitafuta anipe kipapa kwa juhudi na maarifa. Alinivizia kila uchao.
 
uyo mbona amekustahi sanaaa...ujakutana na wale wanaopaka tomato au kumwagia juice ya rozella kwenye taulo za kike kisha kuvaaa lengo akikwambia leo sijisikii, ukilazimisha unakutana na pad yenye tomato/rozella 😂 😂
 
Hahahahaa watoto wazuri hawaji bure mkuu.......Kama huna hela au unajijua hela yako ni ngumu chukua wa level za medium na low tu....

Hahaha
 
Back
Top Bottom