Wanawake wengine hawajielewi kabisa

Wanawake wengine hawajielewi kabisa

Dunia inapambana na Single Mama's kama inavyopambana na magaidi.

Natamani kujua hivyo vihela ulivyompa ni kiasi gani hadi utokwe macho kama unafanyiwa tohara ya kienyeji.
[emoji3][emoji3][emoji3]kmmk
 
Nimejaribu kudate na mwanamke mmoja aisee, majanga. Nimemtoa out vizuri tu, tumekula vizuri tu, tukanywa poa tu, tumepiga stori safi, nikarusha nyavu zikanasa.

Tumekubaliana hatuwezi kusex mpaka tupime afya zetu. Tulipanga siku ya kupima na tukakutana fresh. Tumepima tukakutwa wote tuko fresh. Kabla ya hata siku ya kupima oil, nikaanza kupigwa mizinga. Mara hela ya saloon, mara vocha! Nikawa natoa nikijua hatimaye na mie nitapozwa.

Nilianza kumhisi ni kisirani, kwenye mawasiliano ya texts ana lugha kali na ya kuudhi hata kabla hatujazoeana vizuri.

Sasa tumepanga siku ya mgegedo. Siku moja kabla ya siku yenyewe ananitext kichwa kinamuuma. Siku yenyewe asubuhi ananitext anaumwa sana na anaomba nimtumie kwenye M-Pesa hela ya matunda na ya kusukia. Nilijibu tu SINA.

Hahahahaahaha......mbona alikuwa mbogo. Alifunguka kuwa nina lugha mbaya sana simjali kabisa. Ningekuwa namjali ningetumia hata lugha laini kuwa LEO SINA LABDA KESHO!!

Nimeamua kumpiga chini asijekunipa stress zaidi akishanizoea. Kama hata tunda sijala tayari haeleweki.... atanisumbua huko mbele.

Hawa viumbe hawajielewi kabisa!!?

Aliyokufanyia ni vile alivyokuchukulia jinsi alivyokuona siku ya kwanza,
 
uyo mbona amekustahi sanaaa...ujakutana na wale wanaopaka tomato au kumwagia juice ya rozella kwenye taulo za kike kisha kuvaaa lengo akikwambia leo sijisikii, ukilazimisha unakutana na pad yenye tomato/rozella [emoji23] [emoji23]
Ayeee[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna wanawake huwa nawakimbia mapema kabisa nikiona kichwa maji hata kabla sijapewa mzigo.

Huwa sitaki kelele za nimemuacha kisa nimepewa mzigo!
 
Hivi mnadanganywaje hadi mnaanza kutoa hela hata kabla hamjawatafuna, hao wanahitaji uende nao kwa formula zote mbili ya kushambulia na kudefence
Umenifanya nicheke sana kushambulia na defence ahhhh
 
Back
Top Bottom