Wanawake wengi wenye "CHURA" hamnazo

will.i.am - Feelin' Myself ft. Miley Cyrus, Wiz Khalifa, French Montana via YouTube

Msikilizeni Wiz Khalifa
 
Hii ina ukweli kwa asilimia zote, mchumba wang ana chura aisee yn ni kichomi moja haikai mbili haisogei, yuko very emotional hana logic, hana muda wa kukaa kupanga mambo ya maendeleo,najuta ndo nmeshazaa nae hata sijui nimfanyeje aiseeh!
 
Kuna Mkuu humu JF(sikumbuki vema ID yake), alisema kwamba "Mungu akikupa chura basi hakupi akili, akikupa akili basi hakupi chura"...

Yaani Mungu hakunyimi vyote, ila pia hakupi vyote!

Kuna siku nilikua kituo cha polisi pale mawasiliano ndani stand(ubungo), kuna jamaa nilikua nimekaa Naye nje ya kituo tunasubiri huduma, Mara akakatiza kimbaumbau mmoja, tukamtazamaaaaa, kisha jamaa akasema " hawa wanawake wa hivi nuksi sana" nikamuuliza kivipi tena Mkuu, akaniambia "mwanamke mwenye uzito chini ya 50kg siyo wa kuoa kabisa, ni wasumbufu mno, wanalalamika sana, kila jambo huhisi wanaonewa tu" nikacheka sana! Sasa Leo tena tunaambiwa chura ni 0.001 IQ... Teh teh teh.. Wanaume tumeumbwa matesooooooooo, matesoooooooo, kuhangaikaaa!!!
 
Inategemea Mwananke na Mwananke. Wapo wenye chura za kutosha tu na wanajitambua vizuri sana na kichwani pia kumetulia huwezi kuwafananisha na hawa unaowasema hapa.

Wasalaamu,

Katika kautafiti kangu kafupi nimegundua wanawake wengi wenye chura, uwezo wao wa kupambanua mambo ni mdogo na wengi wanaumizwa sana kunako .

Wengine akili zao chache zilizopo hufikiria kwa kutumia chura, hawa hutumia muda mwingi kuanzisha visafari visivyo na muelekeo huku wakizungusha chura na kujitazama .

Hatari sana !!
 
Inategemea Mwananke na Mwananke. Wapo wenye chura za kutosha tu na wanajitambua vizuri sana na kichwani pia kumetulia huwezi kuwafananisha na hawa unaowasema hapa.
Ndiyo maana tumesema walio wengi mkuu BAK
 
Afadhali hao waliopata chura, wengine chura hat una na kichwa ni pia hakuna.
 
Back
Top Bottom