wasiosoma balaa. Wakisoma balaa. Wakiwa hawana kitu balaa. Wakiwa na fedha balaaaaa. They are complicated like criket and sometimes bitter like osokoni tree
"No Woman no Cry"
wasiosoma balaa. Wakisoma balaa. Wakiwa hawana kitu balaa. Wakiwa na fedha balaaaaa. They are complicated like criket and sometimes bitter like osokoni tree
Mwanamke ni mwanamke na ataendelea kuwa mwanamke... Mwanamme ni mwanamme na ataendelea kuwa mwanamme.... Popote pale kama source of command inakua zaidi ya moja, in a single commanding post... hua ni vurugu!! Na mwanaume ndo kichwa cha mji wowote ule. Napindi inapokuwa kinyume shida lazima itatokea. Ni kweli baadhi ya wanawake waliosoma sana hua wanakabiliwa na SUPERIORITY COMPLEX!!
Huu ni mtazamo tu iawezekana ikawa sahihi au siy o sahihi. Kuna wanaume ambao hawajasoma na ni kero sana lakini wapo waliosoma nao ni kero vilevile.
Cha msingi chagua mwenzi wako kwa uangalifu mkubwa. Usiingie kichwakichwa kuoa..fanya kazi ya ziada kuchunguza kama mnaendana ama lah! Usifuate sura wala kisomo...fuata utu wa mwanamke.Unaweza kubahatika ukapata total package vile vile - urembo, usomi nk.
u thought half way, go deep & search, most of educated women their marriage is worst, & reason is pure and simple, they cannot have limit, maisha ya ndoa wapi na kazi na ubosi wapi, hasa Miaafrika, this touch you i know, but truth will remain as it is
wanasumbuaje?wanakuwaje kama wanaume?..nielimishe kwahili mana napenda niolewe na mtu niliyemzidi kisomo hadi umri...
Twanga kotekote - Mwanamke akikusumbua tafuta "small house" - small house akileta tabu nenda "ohio street" - acha kuumiza kichwa kwa sababu ya mwanamke - there are so many "out there"
pole anza kujiamini kama mwanaume,na yeye atakuheshimu...
ukiwa hujiamini hata ukipata mwanamke ambaye hajasoma atakuendesha tu...:teeth:
Huwa ni inferiority complex kama mzee hujapiga kitabu!! Kama na wewe umepiga kitabu, una kazi nzuri hakuwezi kuwa na shida.
Problem ni pale mama atakapo anza kulipa fadhila ya kupewa uwaziri, ukurugenzi kwa kutoa uroda kwa waheshimiwa, hapo shida ita anza. Na kama ukifanya utafiti wako utagundua wengi wenye kiburi huko nyumbani ujue wazee wamesha anza kumega.
wasiosoma balaa. Wakisoma balaa. Wakiwa hawana kitu balaa. Wakiwa na fedha balaaaaa. They are complicated like criket and sometimes bitter like osokoni tree
Tabu,
Ukipenda tabu itaipata tu ila ukitaka mambo yaende vizuri unaweza kuyaweka sawa. Katika hili tatizo unaloongelea shida iko kwa wanaume zaidi kuliko wanawake. Kama unaweza kukaa chini ukafikiria vizuri basi utakubaliana nami kuwa ni jambo lisiloeleweka kirahisi kuuvunja mfumo ulijengeka kwa miaka mingi na kuzoeleka. Jaribu mfano mdogo tu wa kuwatoa CCM madarakani!
Hata hivyo ujue kuwa hakuna ujanja..dunia imebadilika na kama hutaki kubadilika utasombwa na mafuriko!
Na hali inakuwa mbaya zaidi akikuzidi kakipato............UTAJUTA KUMFAHAMUUsipindishe, kusoma kunaleta kakiburi fulani hivi!!!!
Usikimbilie kwa asiye soma, tunataka nyie mlie soma. Sawa wanaume tunaweza kufanya kazi zote mwanamke anzofanya ukiacha kuzaa, kunyonyesha etc. Lakini sidhani kama mwanamke anaweza fanya kazi zote mwanaume azifanyazo kwani nyingine itaonekana ni kumnyanyasa badala ya usawa tunao uzungumza. Mimi naamini hakuna sehemu iliyo andikwa kuwa kazi za baba John ni hizi na za mama John ni hizi ila majukumu yapo automatique na tunayajua. Tusidanganywe na wanaharakati wa kwenye TV tutavunja ndoa wzetu nzuri.
na UKIMWI umesahau?and kwani is there only one guy pia if women say the same?kadadadadadeki!!
meant this one.Twanga kotekote - Mwanamke akikusumbua tafuta "small house" - small house akileta tabu nenda "ohio street" - acha kuumiza kichwa kwa sababu ya mwanamke - there are so many "out there"
Wasiwasi wenu ndio unawafanya mnajishtukia! Hata akikutania utani wa mapenzi akakuambia "d nibebe" unajiuliza kashanifanya mtumwa...Na hali inakuwa mbaya zaidi akikuzidi kakipato............UTAJUTA KUMFAHAMU
Unamaanisha usumbufu katika ndoa ni tabia ya wanaume? So kina dada wakisoma ndio wanakua kama wanaume? Na wanaume ni tabia yao kwa ujumla au wanaume waliosoma tu?Hivi kwanini wanawake wengi hasa wa kitanzania waliosoma ni wasumbufu katika ndoa. Wakisha olewa nao wanakuwa kama wanaume!!! Tabutupu hii!!!!
Mtoa mada, naheshimu mawazo yako sana. Hata hivyo naomba nikuulize:
1. Kwani "wanaume" wakoje hadi uone kero kwa wanawake wasomi kujaribu kuwa kama wao?
2. Wewe mwenyewe umeoa? Kama umeoa mkeo ni msomi? Kama ni msomi kakukera kwa sababu ya usomi wake? Je angekuwa hajasoma asingekukera?
Nionavyo mimi umeingia katika mkumbo wa wasioelewa.Kweli mwanamke msomi au mwenye uwezo huwezi kumrusharusha kama kishada. Huwezi kumtishia au kumgandamiza kama ambavyo ungefanya kwa huyu ambaye hajasoma au asiye na uwezo kujimudu hata kwa mahitaji madogomadogo.
Mwanamke tegemezi ( wengi hawajasoma) akipata mwanaume mnyanyasaji ni full mateso na utumwa! Nadhani your ideal woman is the one who is ready to KB you!
Keep looking if you are still "available".
Kazi ipo, naona hapa ni mkorogano kabisa. Sio kwamba wanaume wanawanyanyasa wanawake ila inapotokea mwanamke ana rank sawa au kamzidi kidogo ndipo matatizo huanza, wasiwasi, mashaka, nani aogngoze familia, na mkuu etc. lakini kwa mwanamke mwenye busara na mwanaume mwenye busara haya ni mbambo madogo sana na wala hayapaswi kuzungumzwa .Mtoa mada, naheshimu mawazo yako sana. Hata hivyo naomba nikuulize: