Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

Kumbe wapo... naogopa wameanza kuchangia kwa jazba.... sijui nikimbie?
 
heshima wanajishushia wenyewe mami, mie hapa nawasilisha tu!

Haaaahaaaa heshima ndo mwaijua sasa hivi? yaani mlivyokua mnafanya kule vyuoni mmesahau? hata wewe nanihii jamani kweli, hebu muogope shetani basi...
 
Haaaahaaaa heshima ndo mwaijua sasa hivi? yaani mlivyokua mnafanya kule vyuoni mmesahau? hata wewe nanihii jamani kweli, hebu muogope shetani basi...

Hahahaha!We nawe....nimesema zao sio zetu!mi hainihusu!Alafu we utakua wale wale waharibifu!
 
wote mmechemsha. ukweli n kuwa wanaume hawapendi wanawake wasomi kwani huwa wameishachakachuliwa mpaka basi! so inapoteza appetite ukizingatia kuwa wamenyweshwa nazi na midume mingine hadi makoo yamepata ukurutu na downstairs kumebakia vikambakamba tu, elastic material yote imenyauka na kusinyaa! hapo hujamgeukia mpinzani mkubwa wa voda, huko utakutana na bomba la TAZAMA! yaani hadi kichefuchefu. hiyo tu ndiyo sababu, hakuna nyingine

wanaume wajanja wanachukua kitu fresh na wanakiendeleza wenyewe hadi hata kwenye PhD
na akishapata phd asi anakuwa msomi siyo\/ then?
dah kakangu una umri gan\/manake ulivyoandika mweeee
 
tupo tele wala hatujasusia.tunatafakari.



Na mtafakari vizuri,kwani nani asiyejua purukushani zenu,mara mume wangu nina semina wiki tatu South Africa,ukirudi wiki moja mume wangu nina workshop Ngurdoto,mtu hajakaa sawa unasikia mume wangu wiki ijayo naanza kampeni ya viti maalum aaaargh,bora nibakie na mwalimu wangu wa chekechea mie, ikifika saa tano tu kamaliza kazi miguu juu mpaka kesho.
 
heshima wanajishushia wenyewe mami, mie hapa nawasilisha tu!
Hawawezi kujishushia coz hata kama ni kweli wanaume nanyi mnahusika!!Ila sio kweli...hiyo yote ni kampeni yakutaka wadada wakimbie kitabu ili mtuonee vizuri na mimi nakwambia HATUDANGANYIKI!
 
Hahahaha!We nawe....nimesema zao sio zetu!mi hainihusu!Alafu we utakua wale wale waharibifu!

Hapana mie nilikua mshauri wao, hasa pale wanapopitiliza... au siku wakipigana EXILE!!! Si mnakumbuka haka kamsamiati? wanawake wa chuo?? mhh labda umpate tangu first year
 
na akishapata phd asi anakuwa msomi siyo\/ then?
dah kakangu una umri gan\/manake ulivyoandika mweeee

kama phd yenyewe umemkaangia mwenyewe, so ni kitoweo halali kabisa, siyo vitoweo vya kukaangiwa na wenzio hadi vinaungua wewe unakuja kumeza tu na makaa yake eti hadi kifo kiwatenganishe! kiumri hatutofautiani sana dada, labda kule nanii ndo kuna tofauti.
 
Hawawezi kujishushia coz hata kama ni kweli wanaume nanyi mnahusika!!Ila sio kweli...hiyo yote ni kampeni yakutaka wadada wakimbie kitabu ili mtuonee vizuri na mimi nakwambia HATUDANGANYIKI!

poa tu mama kama hamdanganyiki. hata mie wanangu nafanya juu chini wapige kitabu mpaka mwisho. ila kuna law fulani ya diminishing marginal fermininity inasema kuwa ukisoma sana, ferminine qualities huongezeka na eventually zitaanza kudiminish, sasa wakati zikidiminish ndipo soko la wadada wasiopiga kitabu kwa sana linapoongezeka! hasa kutokana na niliyodokeza hapo juu. tafakari
 
1.wanaume hawajiamaini
2. he thk atashndwa kuexercise udumelism,kibes na shuruba zote zile mwanamke asiyekuwa na mbele wala nyuma anafanyiwa
3.anazani heshima itapungua
NI INFRORTY FLAN YA KIUME JUU YA AKINA EVA....ni ujinga tu i can cal t......km unampenda na anakupenda elimu ,sjui hela kanizid inahusu nin?
kwan mkiwa paleeee yeye anaweza akaota naniiiina akawa wa kiume na wewe ukaota naniii ya kike?
mwanaume atabakia mwanaume mkike atabakia mkike daima dawamu cha muhimu ni kutambua majukumu yako full stop.

Duuh . . . Rose umejibu kwa ghadhabu sana, punguza munkaari basi kwanza . . . lakin kuna tabia ya wanawake hao wasomi kupenda kuchukua nafasi ya mwanaume ktk nyumba kwa kigezo cha NAE KASOMA . . . huoni hii ndo inawatisha wanaume wengi?
 
Hapana mie nilikua mshauri wao, hasa pale wanapopitiliza... au siku wakipigana EXILE!!! Si mnakumbuka haka kamsamiati? wanawake wa chuo?? mhh labda umpate tangu first year
Mshauri huh?!Basi hongera kwakua na moyo wakujitolea hivyo!!Sasa anzisha seminar...unapita vyuoni kuwapa ukweli!
 
Wanaume wengi wanapenda kuishi na wake zao kwa ile style ya baba naomba, (Naomba hela ya chumvi baba, hela ya salon baba, hela ya.....baba). Na mfumo dume wa kijinga ( mnamwaga mwaga chakula kwa sababu hamjui gharama yake???, nani kavunja chupa yangu???, nani kafanya hiki na kile.......changu)

Hivi umeifanya nini hi gari yangu, kama hujui kuendesha si uiache tu nyumbani.

Duuuuuuuuu,

Mmmmh . . . umesahau haya " hayo wanaweza waliosomea tu, tatizo unajifanya msomi" au " Huna uwezo wa kuona mbali ::: wewe hunidanganyi kitu, nina degree ya bachelor na uprofesa wa mitambo na sistim za sayansi zote "
 
poa tu mama kama hamdanganyiki. hata mie wanangu nafanya juu chini wapige kitabu mpaka mwisho. ila kuna law fulani ya diminishing marginal fermininity inasema kuwa ukisoma sana, ferminine qualities huongezeka na eventually zitaanza kudiminish,

Embu acha hayo maneno bwana....hata kama imetokea kwa watu kadhaa haina maana wote tuko kwenye mkumbo!Kuna ambao hawajasoma kivile ila tabia zao ni hivyo sasa sijui wao kimewaposha ni kama sio ELIMU mnayoilaumu!
 
Huko siko jamani, mbona wifi/shemeji yenu shule imo na hakuna tatizo? hao wanaowaogopa ujue ni wezi tu! tena hakuna mwanamke rahisi kumpata kama msomi, maana wakishasoma si ndio wanashuka soko!! hata katibu kata anaweza kuopoa!

Sasa jiulize kinachofanya washuke bei ni nini? Halafu utajua maana ya hii thread
 
Jamaniiii wana JF, wanaume wengi wanakwepa kuchumbia wanawake wasomi au wenye kipato kikubwa, hata kama wana sifa zote za upendo wa dhati na uaminifu, ni kwanini hasa?

Nani kakwambia waulize wa hall 1 pale udsm tulivyo/tunavyo washughulikia
Hawana ubishi labda wewe
 
Back
Top Bottom