wanawake wengi wanatabia hii, haijalishi yupo katika ndoa/strong relation mkifuatwa na wahitaj wengine huwa mnawapa nafasi, na kabla hamjanasika hua hamsemi nachojiuliza hua hamjui madhara ya hii kitu kabla?
nb: bata ukimchunguza sana huwez kumla.
nb: bata ukimchunguza sana huwez kumla.