Wanawake wengi wanatabia hii

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
wanawake wengi wanatabia hii, haijalishi yupo katika ndoa/strong relation mkifuatwa na wahitaj wengine huwa mnawapa nafasi, na kabla hamjanasika hua hamsemi nachojiuliza hua hamjui madhara ya hii kitu kabla?
nb: bata ukimchunguza sana huwez kumla.
 
Huwa hawasemi kama wako occupied, hata akiwa ameolewa.
 
Nawaapa nafac wawe second choice ili nikitendwa niwe na pa kuegemea
 
Back
Top Bottom