Wanawake wengi walioolewa ni wepesi

Wanawake wengi walioolewa ni wepesi

Mbona unataka nikutoe berenge wewe babu...
Ukiniona speed yako inatekenya unaona uzee mwisho sio msata bala segera ....
Ntakutoa nduki utoe mdomo nje kama mbwa
Usithubutu kukutwa........
 
Wanawake wengi walioolewa wamekuwa wepesi (achilia mbali vidada ambavyo havijaolewa, ingawa navyo ni majanga lakini, afadhali mitego yao kidogo ni negotiable).

Wengi wao huwatongozi ila watakutongoza wenyewe! Kundi risky zaidi ni la wamama wa nyumbani au wanawake ambao hawajasoma (I am sorry to say this)!

Unaweza kukuta mme wake ana fedha na kila kitu, lakini kwa sababu jamaa hajaajiriwa serikalini au kwenye taasisi au kampuni (kumbuka tulio wengi tunatamani kujiajiri!), mke wake anamchukulia kama mtu fulani ambaye hana hadhi nzuri ya kuwa mme.

Sumaku kali zaidi ambazo huwavuta wamama wa aina hiyo, ni wale vijana au watu wazima walioajiriwa, wanaotoka asubuhi, wamepiga tai, kiatu kiwi full time, wengine suti, halafu ni watu wa misheni town (wenye magari sijui inakuwaje, mtatuambia), (haata kama kazi zao ni kufagia au kuzunguka na mafile maofisini)!

Wanawake wa aina hiyo huanza kwanza kwa kutafuta ukaribu na mazoea na watu wa aina hiyo kwa udi na uvumba katika harakati za kufanikisha azma zao.

Licha ya uzoefu nilioushuhudia juu ya wamama hapo juu, hivi karibuni nimekumbana na majanga kadhaa yakihusisha wanawake walioolewa kwa ujumla, wengi wao wanaoonekana ni sex hungry moms au gold diggers. Nawapa tu mifano michache kuthibitisha haya ninayoyasema:

1. Mie nakaa mwenyewe mmama from no where akaanza kuniletea chakula (niliogopa sana), akaniambia naona unapata shida unakaa mwenyewe na wewe ni mwanaume huwezi kujipikia.

Siku ya kwanza sikukila (nilikiweka kwenye chombo changu nikampa sahani, baadaye nilikimwaga), maana niliona kama labda kaweka kitu. Siku nyingine akaleta na kuniambia tule wote! Hooooooooo, nikamwambia tutakula wapi?

Akasema kwako, usiogope mme wangu amesafiri! Sasa tukiwa tumekaa, alikuwa amejifunga kanga moja, anatawanya miguu na kuirudisha, nilijikaza sikufanya chochote, vituko anavyonifanyia mpaka sasa ni siri yangu.

2. Mwingine alipata namba yangu kupitia simu ya mmewe ambaye ni rafiki yangu, kila mara hasa usiku ana msgs kama hizi: "shem habari, nahisi wewe ni mcheshi, huna kiburi wala makuu, tena unachat na mimi bila shida, nina hamu siku moja nije Dar nikufahamu, au sio shem?"

Mara nyingi sijibu, akiona hivyo "shem nijibu basi, usiogope maana mme wangu hayupo sasa hivi". Vituko vyake siku hizi havisimuliki!

3. Mwingine, kutwa kulalamika kuhusu maisha yake na ndoa "Yaani shem, we acha tu, maisha magumu, rafiki yako naye kipato hakieleweki na mie sikusoma wala kubahatika kuajiriwa, maisha yanaenda tu kwa nguvu za Mungu, ningekuwa sio mvumilivu sidhani kama hii ndoa ingekwepo, shem unakaa wapi nije kukusalimia au una mke?" Mie najiuliza hivi wakati wa kufunga ndoa hakuapa kuwa na mmewe kwa shida na raha?

4. Mwingine ni mama jirani yangu, tena ni mtu anayejiweza, siku moja akaniita anaomba nimsaidie kurudishia taa imeungua, nilivyopanda juu ya meza alinipa taa - tube light mbovu, kuiweka haiwaki, akaniambia naomba simu yako nimpigie kijana fulani wa mtaani aniletee taa nyingine, nilivyompa kumbe alijipigia, halafiu akaniambia hapatikani, acha.

Tangu awe na namba yangu, utaona mida ya saa 4 usiku anatuma msgs kama vile "Mambo, Jumamosi hii twende tukatembee" au "Nina kitu nataka kukuambia ila tunahitaji faragha", Huwa namjibu, nina mambo mengi, labda siku nyingine.

Ni majanga mengi sana nakutana nayo yanayohusisha akina mama walioolewa. Mliooa kuweni makini na wake zenu, wengi ni washenzi sana na wana sophisticated means za kuwaengage wanaume wengine kwenye mahusaiano na wao! Pia najiuliza tatizo lao la kuzoeana na wanaume wengine na kujifanya wana hamu ya kuchat au kuwa karibu nao na sio waume zao ni nini?

NB: Nawaasa vijana kukaa mbali na mke wa mtu, maana mke wa mtu ni zigo la madawa ya kulevya.

Nauliza: Je; mama yako mzazi ni miongoni mwa hawa akina mama unaowataja?Ambao wameolewa na hawajaenda shule na ambao waume zao hawajaajiriwa?
Je na yeye (mama yako) ;baba yako akisafiri huwatamani vijana BARUBARU?
na kuwavalia khanga moja na kuwapelekea msosi?
Ukitaka jibu usipotaka pia jibu.
 
Hahahha nimefurahi sana.Mkuu nice story lakini kuwa makini
 
ndoa ni institution inayoongeza stress, vifo na magonjwa duniani
0.jpg 9878749-a-scared-young-woman-watching-a-horror-movie-at-home-alone.jpg download.jpg cut_valentines-day_2480193b.jpg
Wanawake walioolewa kutulizwa hamu zaidi kuliko mpango wa malipo kwa michepuko

article-2396615-1B5AF6C1000005DC-741_306x614.jpg rich-girl5.jpg images (2).jpg tumblr_mdjtw0iLkC1r0yir1o1_500.jpg
Wasichana wengi sex for money, na wengine shinikizo la kupata gari/nyumba

Katika nchi fulani halisi si ya kufikirika, nilikuwa na furaha kufahamiana na familia ya kitanzania. Binafsi nilielewa ni kama ndugu tu, lakini mke wake akawa na mazoea ya kunitania sana wakati inapotokea kukutana wakati mumewe hayupo, laini mume wake akiwepo yuko tofauti kabisa na anavyokuwa peke yake na mimi katika maongezi. Siku moja bila kutarajiwa nikakuta napigiwa simu kuwa yupo nje anakuja kunisalimia nimfungulie mlango. Nilishtuka kidogo kwa kuwa niko single kutembelewa na mke wa mtu. Kwa vile niliwazoea nikaona kama moyo mwema wa ujirani mwema tu umemtuma kunitaka khali.

Baada ya kumkaribisha ndani na kumwandalia kinywaji baridi na vitafunio vilivyokuwapo nikaona kama anakitu cha kuniambia lakini anapata shida namna ya kuanza huku akionekana kama mnyonge mwenye mapigo yaendayo kasi. Nguo alizovaa sikuzoea kuona anazivaa lakini zilikuwa na kila dalili ya kuonekana sex woman.

Nilisoma hali halisi lakini nikajikausha kama sielewi kitu na kuendelea na maongezi ya kawaida. Alipoona hakuna dalili basi akaaga kwenda maana muda wa kurudi mumewe toka kazini ulikuwa unakaribia. Nikamsindikiza hadi alipoondoka na kuangalia hadi gari yake ikipotea machoni mwangu nikifikiria kilichomleta hata bila kumwalika na wala hata kuniarifu kuwa anakuja kutembelea. Mbaya zaidi aliponiaga aliniambie nisimwambie mume wake kuwa alikuja kunitembelea. Hiyo niliona dalili mbaya yenye nia ambayo hakuwa mwazi kuniambia wazi.

Kwangu naona ni jambo lisilowezekana, lakini kuna ukweli kwamba wanawake wengi walioolewa wanajirahizisha zaidi na pengine bila gharama kupata michepuko kuliko wasichana wasioolewa ambao wanaonekana wasichana ni ghali, isipokuwa wasio na kazi ni full biashara kwa kwenda mbele.

Vijana wanaonekana kupenda dezo zaidi kwa hawa wanawake kwa vile hakuna gharama ya kununua penzi kama ilivyo kwa wasichana ambao gharama za kuwahamishia M-Pesa kwenye simu zao ni kubwa, shopping inawaliza, matumizi ya kawaida yanahangaisha, kubadilisha simu na vitu vingine ambavyo ni fasheni ya wasichana huwaumiza vijana, ndio maana wako tayari kuhusiana na wanawake ambao wana watoto wenye umri kama wao.

Jamani maadili muhimu, bora imani na mrejesho wa makubaliano ya awali katika ndoa kuliko mipapaso ya huko sirini yafanywayo kwa kuvizia mume wakati yupo kazini ndo mambao yaendeshwe.

Nani mwenye kushikwa tamaa ya ngono zaidi?
Asiye na kazi na kushinda nyumbani tu yupo katika hatari zaidi, maana uvivu hata misahafu ya biblia inasema ni adui wa roho. Wanawake wengi walioolewa na wanaume ambao wako busy sana na kazi na wanachoka sana na kazi ndio wapo katika kundi hili, pengine wanaume wanatakiwa ushirikishaji au kuwaanzishia shughuli za kiuchumi vinginevyo wanashinda wamekaa upenuni wakichungulia kila aina ya wanaume wanaopita na kuwaibulia hamu ya kuona nani angemtuliza mzuka.

Kujichosha ni dawa ya kutopata hamu ya ngono
Nilipokuwa nasoma shule, bahati nilipitia shule fulani ya kanisa, tulihimizwa sana michezo na kwamba mtu akishachoka anahitaji mapumziko lakini asiyechoka mwilini silika ya ngono huibuka na kusababisha kizazaa. Ndio maana siku hizi wanachuo wengi wanaonekana zaidi mitandaoni kwa vile hakuna shughuli zinazowachosha kama michezo na elimu ya kujitegemea kivitendo, hivyo silika ya kujamihiana inawaliza kila kukicha.
 

Attachments

  • money-girl.jpg
    money-girl.jpg
    47.8 KB · Views: 161
...Wengi wao huwatongozi ila watakutongoza wenyewe! Kundi risky zaidi ni la wamama wa nyumbani au wanawake ambao hawajasoma...
sijui kwanini wakufuate wewe tu something is wrong somewhere na ndio maana unakutana na wasio soma tu, maana ninavyoelewa mimi wasomi ndio balaa wengi wao wameolewa na wasomi wenzao au watu wenye majukumu kila mtu ndani ya nyumba ni ubusy tu, wanaishia kuwa na wa pembeni kwenye ma conferences au maofisini. Hizo zote ni tabia ya mtu tu, mtu kama anajiheshimu, haijalishi hali ya home ikoje atajitunza tu.
 
Bunduki na hilo tumbo lako kubwa kama pipa upige nani utaliwa tu

Wewe kweli kumma. Unalazimisha kitu ambacho hakiwezi kutokea, halafu imagination za kijinga kwa kudhani mie nina tumbo kubwa. Unachopinga na kunitukana mimi ni nini? Unakimbilia kujisemea mambo ambayo una udhoefu nayo! Sio bure ulishaliwa mattako.
 
sijui kwanini wakufuate wewe tu something is wrong somewhere na ndio maana unakutana na wasio soma tu, maana ninavyoelewa mimi wasomi ndio balaa wengi wao wameolewa na wasomi wenzao au watu wenye majukumu kila mtu ndani ya nyumba ni ubusy tu, wanaishia kuwa na wa pembeni kwenye ma conferences au maofisini. Hizo zote ni tabia ya mtu tu, mtu kama anajiheshimu, haijalishi hali ya home ikoje atajitunza tu.

Ndio something is wrong upande wao sio mimi. Hao wasomi unaowasema, wamejaa hata humu JF unawapata.
 
Nauliza: Je; mama yako mzazi ni miongoni mwa hawa akina mama unaowataja?Ambao wameolewa na hawajaenda shule na ambao waume zao hawajaajiriwa?
Je na yeye (mama yako) ;baba yako akisafiri huwatamani vijana BARUBARU?
na kuwavalia khanga moja na kuwapelekea msosi?
Ukitaka jibu usipotaka pia jibu.

Mama yangu hana hiyo tabia,kwanza hayupo kwenye hilo kundi. Nimesema wengi sio wote. Unaonekana hata kuelewa kwako tu ni kazi. Jiulize kama mama yako yumo au lah.
 
I started number 1, umefuatwa, 2 umefuatwa, 3 umefuatwa, mpaka ya 4? wewe hufuati wala hujatongoza? hii hadithi inatunfundisha nini, if you behave well and not invisting these things in your life you wont experience them, it looks like you are enjoying? IDIOT .... Soma magazetini na mitandaoni ujifunze wala wake za watu huishia wapi? mbwiga wee

Unaleta habari za magazetini na mitandaoni wakati mkeo ameliwa mara kibao na hujamkamata mtu. Wewe kweli -----. Sasa unataka nini uliwe badala yao? Mke wako ataliwa ukileta mchezo na wewe unaliwa pia.
 
Utoto unakusumbua tu weye!
Weye unafikiri wote wanaopata UKIMWI ni wazinzi tu!

Toa ujinga wako hapa. Wapi nimefikiri wanaopata ukimwi ni wazinzi tu? Kweli wewe kichwa kitupu. Nimekuambia sipati ukimwi, unalazimisha? Huo ukimwi utapata wewe.
 
yaan mshenzi namba moja ni mwanaume tena anaejua huyu ni mke wa mtu halafu unamfanya,katika ubaya wa mwanadam anaotenda moja wapo ni huu.nahisi wewe utakuwa ama ulishatembea na mke wa mtu hakika ni dhambi ya aina yake,na ili isamehewe unatakiwa uombe radhi kwa uliemtenda ndio uende mbele za MUNGU vinginevyo msamaha hakuna.wasilaumiwe wa mama kwa hili,bali ni WANAUME ndio wanaostahili lawama.

Wewe hata huelewi msamaha unapatikana kwa nani! Msamaha unapatikana kwa Yesu tu. Hayo mambo mengine unajipotezea tu muda. Utafunga siku thelathini, utafanya yote mwisho wa siku inakula kwako. Wasilaumiwe wamama! Haya usimlaumu mkeo.
 
Ni Kweli kabisa Kuna Mmoja Anasababisha mpaka Sasa iv inabid nichelewe kurudi mana Ni Majanga,
Hapo anapoishi wamepanga na wako kama watu saba Hivyo wakati akifua nguo kamaba za Kuanikia zinajaa kutokana na wingi wawatu hivyo yeye kuchukua Jukumu la Kuja Kutumia Kamba ya mahali Ninapo Ishi. Utakuja Labda nguo zimekauka Mapema lakini Atasubiri mpaka Mda ambao huwa narudi kutoka Job nayeye ndipo anajidai kuja kuanua na akija lazima agonge kwangu na ukimwambia karibu anaingia Hadi ndani Bila hata ya kuogopa kwamba naishi Peke yangu. Inasababisha hatakama Nilikuwa sina ratiba ya Kutoka nimwambie naondoka mana anaganda halafu unakuta kavaa Mavazi ya ajabu kitu amabacho mme wake akimkuta kwangu hawezi kutuelewa
yani Kasababisha mpaka sasa iv natoka Job sa kumi Jioni lakin inabid nifike saa mbili Usiku Kukwepa Balaa.

Anafua kila siku? Kwanini usimwambie awe anatoa nguo zake mapema?
 
Kuna watu wanaona uchungu kuambiwa ukweli, badala kushukuru kupewa taarifa, unaanza kutukana! Na bado hujapima DNA ukute watoto wote sio wako, mbona utajinyonga! ***** zenu.
 
Hii sasa ni dharau kwa mama zetu.
Simplicity kwahyo hayo uliyoyaandika uliyaona kwa mama yako pindi baba yako anaposafiri?
Kama mama yako alikuwa rahisi kiivyo usichukulie wate kuwa ndio walivyo. Hyo ilikuwa tabia ya mama yako tu mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom