miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
wanawake kazi ipo wiki hii, full kuporomoshewa madongo tu. Haya njoo mtujibu
tusipoolewa wiki hii basi tena
wanawake kazi ipo wiki hii, full kuporomoshewa madongo tu. Haya njoo mtujibu
Mke wa mtu, hata kwa dawa...!!
Nikikukuta na Mke
Wangu Kichwaaaaa cha Mb** yako halali yangu...
Jamaa litakuwa hendsam sana. yani wake za marafiki zake wanalishobokea.... hata ambao hawajawahi kuliona!!!! Shigongo kakuza şana vipaji vya utunzi.
Lakini we sio kibinti, sio!! Coz hata vibinti vya chuo au shule mie sitaki...!
"Watching you closely ICHANA..."
Watch me closely so that u can know me
Cos utaishiwa pose za kuniambia hayo
Weee tema mate nimesoma vitabu vya kabanga ampiga mkoloni
Watch me closely so that u can know me
Cos utaishiwa pose za kuniambia hayo
Weee tema mate nimesoma vitabu vya kabanga ampiga mkoloni
Still, watching you girl..!
I don't wanna know you coz that'd make my task too difficult...
...Bado mwanachuo wewe?
Acha kutisha vijana we mchuchu. Hebu kuja pande hii nikuambie kitu kitamu.
Mpaka mkeo achepuke bc ujue humfikishi. Anakula vya mafuta lazima awe na ashki. Vijana ndio suluhisho la mambo yote.
dungagunga@karamuyashetani.com
tusipoolewa wiki hii basi tena