Wanawake wengi walioolewa ni wepesi

Wanawake wengi walioolewa ni wepesi

si kweli nakataa nyinyi msoolewa achen visingizio oeni au oleweni ni heshima kwa jamii mambo mengine ni tabia ya mtu mwenyewe

prospa katika ndoa 5, 3 ni majanga make follow up utaona mnaishia kufuatana mkiwa nje lakini ndani huko thing already fall apart
 
Hli jambo lipo na kubwa kwl ktk jamii,mm yamenikuta haya bwana, bahati mbaya walinishinda wale wamama bwana.Tena ni mtu na mdogo wake,nilicheza nao mchezo hatari ktk maisha.Bahati nzr niliondoka pasipo mambo kuvuja,ila mdogo wao mwny rika sawa na mie alijua na aliniambia et " Naona unawafaidi dada zangu"NILITETEMEKA nikamwambia dada yake,dada mtu akasema anataka naye huyo ngoja nitaongea naye.
 
Wanawake wengi walioolewa wamekuwa wepesi (achilia mbali vidada ambavyo havijaolewa, ingawa navyo ni majanga lakini, afadhali mitego yao kidogo ni negotiable).

Wengi wao huwatongozi ila watakutongoza wenyewe! Kundi risky zaidi ni la wamama wa nyumbani au wanawake ambao hawajasoma (I am sorry to say this)!

Unaweza kukuta mme wake ana fedha na kila kitu, lakini kwa sababu jamaa hajaajiriwa serikalini au kwenye taasisi au kampuni (kumbuka tulio wengi tunatamani kujiajiri!), mke wake anamchukulia kama mtu fulani ambaye hana hadhi nzuri ya kuwa mme.

Sumaku kali zaidi ambazo huwavuta wamama wa aina hiyo, ni wale vijana au watu wazima walioajiriwa, wanaotoka asubuhi, wamepiga tai, kiatu kiwi full time, wengine suti, halafu ni watu wa misheni town (wenye magari sijui inakuwaje, mtatuambia), (haata kama kazi zao ni kufagia au kuzunguka na mafile maofisini)!

Wanawake wa aina hiyo huanza kwanza kwa kutafuta ukaribu na mazoea na watu wa aina hiyo kwa udi na uvumba katika harakati za kufanikisha azma zao.

Licha ya uzoefu nilioushuhudia juu ya wamama hapo juu, hivi karibuni nimekumbana na majanga kadhaa yakihusisha wanawake walioolewa kwa ujumla, wengi wao wanaoonekana ni sex hungry moms au gold diggers. Nawapa tu mifano michache kuthibitisha haya ninayoyasema:

1. Mie nakaa mwenyewe mmama from no where akaanza kuniletea chakula (niliogopa sana), akaniambia naona unapata shida unakaa mwenyewe na wewe ni mwanaume huwezi kujipikia.

Siku ya kwanza sikukila (nilikiweka kwenye chombo changu nikampa sahani, baadaye nilikimwaga), maana niliona kama labda kaweka kitu. Siku nyingine akaleta na kuniambia tule wote! Hooooooooo, nikamwambia tutakula wapi?

Akasema kwako, usiogope mme wangu amesafiri! Sasa tukiwa tumekaa, alikuwa amejifunga kanga moja, anatawanya miguu na kuirudisha, nilijikaza sikufanya chochote, vituko anavyonifanyia mpaka sasa ni siri yangu.

2. Mwingine alipata namba yangu kupitia simu ya mmewe ambaye ni rafiki yangu, kila mara hasa usiku ana msgs kama hizi: "shem habari, nahisi wewe ni mcheshi, huna kiburi wala makuu, tena unachat na mimi bila shida, nina hamu siku moja nije Dar nikufahamu, au sio shem?"

Mara nyingi sijibu, akiona hivyo "shem nijibu basi, usiogope maana mme wangu hayupo sasa hivi". Vituko vyake siku hizi havisimuliki!

3. Mwingine, kutwa kulalamika kuhusu maisha yake na ndoa "Yaani shem, we acha tu, maisha magumu, rafiki yako naye kipato hakieleweki na mie sikusoma wala kubahatika kuajiriwa, maisha yanaenda tu kwa nguvu za Mungu, ningekuwa sio mvumilivu sidhani kama hii ndoa ingekwepo, shem unakaa wapi nije kukusalimia au una mke?" Mie najiuliza hivi wakati wa kufunga ndoa hakuapa kuwa na mmewe kwa shida na raha?

4. Mwingine ni mama jirani yangu, tena ni mtu anayejiweza, siku moja akaniita anaomba nimsaidie kurudishia taa imeungua, nilivyopanda juu ya meza alinipa taa - tube light mbovu, kuiweka haiwaki, akaniambia naomba simu yako nimpigie kijana fulani wa mtaani aniletee taa nyingine, nilivyompa kumbe alijipigia, halafiu akaniambia hapatikani, acha.

Tangu awe na namba yangu, utaona mida ya saa 4 usiku anatuma msgs kama vile "Mambo, Jumamosi hii twende tukatembee" au "Nina kitu nataka kukuambia ila tunahitaji faragha", Huwa namjibu, nina mambo mengi, labda siku nyingine.

Ni majanga mengi sana nakutana nayo yanayohusisha akina mama walioolewa. Mliooa kuweni makini na wake zenu, wengi ni washenzi sana na wana sophisticated means za kuwaengage wanaume wengine kwenye mahusaiano na wao! Pia najiuliza tatizo lao la kuzoeana na wanaume wengine na kujifanya wana hamu ya kuchat au kuwa karibu nao na sio waume zao ni nini?

NB: Nawaasa vijana kukaa mbali na mke wa mtu, maana mke wa mtu ni zigo la madawa ya kulevya.
Umeeleza vizuri sana mkuu... Makundi ya hao wanawake kwa sie mabachelor wenye kufanya kazi za ki officer usipokuwa makini utafagia sio mchezo
 
Ni Kweli kabisa Kuna Mmoja Anasababisha mpaka Sasa iv inabid nichelewe kurudi mana Ni Majanga,
Hapo anapoishi wamepanga na wako kama watu saba Hivyo wakati akifua nguo kamaba za Kuanikia zinajaa kutokana na wingi wawatu hivyo yeye kuchukua Jukumu la Kuja Kutumia Kamba ya mahali Ninapo Ishi. Utakuja Labda nguo zimekauka Mapema lakini Atasubiri mpaka Mda ambao huwa narudi kutoka Job nayeye ndipo anajidai kuja kuanua na akija lazima agonge kwangu na ukimwambia karibu anaingia Hadi ndani Bila hata ya kuogopa kwamba naishi Peke yangu. Inasababisha hatakama Nilikuwa sina ratiba ya Kutoka nimwambie naondoka mana anaganda halafu unakuta kavaa Mavazi ya ajabu kitu amabacho mme wake akimkuta kwangu hawezi kutuelewa
yani Kasababisha mpaka sasa iv natoka Job sa kumi Jioni lakin inabid nifike saa mbili Usiku Kukwepa Balaa.
Akigonga usimwambie karibu, fungua sikiliza shida yake. Vitu vingine mnaviendekeza wenyewe.
 
Hao wana pepo la ngono tu.

Tatizo hilo halipo kwa wanawake waliolewa tu bali kwa baadhi ya wanawake waliolewa, wasichana (wengine wanavyuo), wanaume waliooa na wasiooa. Hata sisi wanaume tulio katika ndoa tunasumbuliwa sana na wasichana wasioolewa. Mwingine ukimpa tu lift, akiteremka anaomba namba yako. Wengine wanachukua simu wanajifanya wanaiangalia kumbe wanajipigia. Unashangaa usiku wa manane messages zinaanza kuingia.

Usitegemee utaepuka ukimwi au kuushinda uzinzi kwa kutotongozwa na wanawake/wasichana au kwa kukataliwa unapowatongoza bali ni kwa maamuzi yako binafsi.

Kuna mwanamke, niliombwa na mume wake nimpe lift, nikampa. Toka siku hiyo ni usumbufu mtupu, alipoona simwambii alichotaka kuambiwa, akanitumia message, 'we mwanaume ninakupenda sana lakini naona una maringo, lakini tambua Dunia hii ni ndogo sana, siku utakaponihitaji nami nitakukaushia', nami nikamjibu kwa upole, 'ukifanya hivyo utakuwa umenisaidia mimi na nafsi yako'. Lakini haikusaidia, mpaka sasa katuma messages tano, nimekaa kimya na wala sitaki kumjibu. Hili ni moja lakini yapo mengi, cha muhimu ni maamuzi na akili yako kichwani.
Usingemjibu. Ukimjibu ndio unamu-entertain. Hata aandike nini wewe ni bati tu.
 
Simple analysis reflects that wanaume hawazijali tena hisia za wake zao mara baada ya kufanikiwa kuwaweka ndani, wana-assume kuwa hao (WAKE ZAO) wamekua wamama wa kulea familia na kutunza nyumba, kumbe wanatakiwa kuwajali na hasa kuzijali hisia zao za kimahaba (husbands should appeal to the emotional needs of their wives) wanaume wanapokua hawajali wake zao wana-feel negleted and disturbed emotionally...jibu ni MCHEPUKO. Lakin mwanaume ukitenga muda wa kucheza na mkeo kimahaba kama enzi za uchumba wenu na ukamwonyesha waziwazi unamjali....hata uende wapi atakutext....Baby nakumis saana, nakusubiri uje unipe tam tam! ...the problem is...wanaume wengi huingia kwenye ndoa wakiwa hawamjui mwanamke ni kiumbe wa vp na mahitaji yake kihisia ni yapi hasa....lol to u wanaume mnaotunza ndoa zenu kwa kuzijali sana hisia za ndani za wake zenu!:A S-confused1:

Wanawake wengi walioolewa wamekuwa wepesi (achilia mbali vidada ambavyo havijaolewa, ingawa navyo ni majanga lakini, afadhali mitego yao kidogo ni negotiable).
Unaweza kukuta mme wake ana fedha na kila kitu, lakini kwa sababu jamaa hajaajiriwa serikalini au kwenye taasisi au kampuni (kumbuka tulio wengi tunatamani kujiajiri!), mke wake anamchukulia kama mtu fulani ambaye hana hadhi nzuri ya kuwa mme.

Sumaku kali zaidi ambazo huwavuta wamama wa aina hiyo, ni wale vijana au watu wazima walioajiriwa, wanaotoka asubuhi, wamepiga tai, kiatu kiwi full time, wengine suti, halafu ni watu wa misheni town (wenye magari sijui inakuwaje, mtatuambia), (haata kama kazi zao ni kufagia au kuzunguka na mafile maofisini)!

Wanawake wa aina hiyo huanza kwanza kwa kutafuta ukaribu na mazoea na watu wa aina hiyo kwa udi na uvumba katika harakati za kufanikisha azma zao.

Licha ya uzoefu nilioushuhudia juu ya wamama hapo juu, hivi karibuni nimekumbana na majanga kadhaa yakihusisha wanawake walioolewa kwa ujumla, wengi wao wanaoonekana ni sex hungry moms au gold diggers. Nawapa tu mifano michache kuthibitisha haya ninayoyasema:

1. Mie nakaa mwenyewe mmama from no where akaanza kuniletea chakula (niliogopa sana), akaniambia naona unapata shida unakaa mwenyewe na wewe ni mwanaume huwezi kujipikia.

Siku ya kwanza sikukila (nilikiweka kwenye chombo changu nikampa sahani, baadaye nilikimwaga), maana niliona kama labda kaweka kitu. Siku nyingine akaleta na kuniambia tule wote! Hooooooooo, nikamwambia tutakula wapi?

Akasema kwako, usiogope mme wangu amesafiri! Sasa tukiwa tumekaa, alikuwa amejifunga kanga moja, anatawanya miguu na kuirudisha, nilijikaza sikufanya chochote, vituko anavyonifanyia mpaka sasa ni siri yangu.

2. Mwingine alipata namba yangu kupitia simu ya mmewe ambaye ni rafiki yangu, kila mara hasa usiku ana msgs kama hizi: "shem habari, nahisi wewe ni mcheshi, huna kiburi wala makuu, tena unachat na mimi bila shida, nina hamu siku moja nije Dar nikufahamu, au sio shem?"

Mara nyingi sijibu, akiona hivyo "shem nijibu basi, usiogope maana mme wangu hayupo sasa hivi". Vituko vyake siku hizi havisimuliki!

3. Mwingine, kutwa kulalamika kuhusu maisha yake na ndoa "Yaani shem, we acha tu, maisha magumu, rafiki yako naye kipato hakieleweki na mie sikusoma wala kubahatika kuajiriwa, maisha yanaenda tu kwa nguvu za Mungu, ningekuwa sio mvumilivu sidhani kama hii ndoa ingekwepo, shem unakaa wapi nije kukusalimia au una mke?" Mie najiuliza hivi wakati wa kufunga ndoa hakuapa kuwa na mmewe kwa shida na raha?

4. Mwingine ni mama jirani yangu, tena ni mtu anayejiweza, siku moja akaniita anaomba nimsaidie kurudishia taa imeungua, nilivyopanda juu ya meza alinipa taa - tube light mbovu, kuiweka haiwaki, akaniambia naomba simu yako nimpigie kijana fulani wa mtaani aniletee taa nyingine, nilivyompa kumbe alijipigia, halafiu akaniambia hapatikani, acha.

Tangu awe na namba yangu, utaona mida ya saa 4 usiku anatuma msgs kama vile "Mambo, Jumamosi hii twende tukatembee" au "Nina kitu nataka kukuambia ila tunahitaji faragha", Huwa namjibu, nina mambo mengi, labda siku nyingine.

Ni majanga mengi sana nakutana nayo yanayohusisha akina mama walioolewa. Mliooa kuweni makini na wake zenu, wengi ni washenzi sana na wana sophisticated means za kuwaengage wanaume wengine kwenye mahusaiano na wao! Pia najiuliza tatizo lao la kuzoeana na wanaume wengine na kujifanya wana hamu ya kuchat au kuwa karibu nao na sio waume zao ni nini?

NB: Nawaasa vijana kukaa mbali na mke wa mtu, maana mke wa mtu ni zigo la madawa ya kulevya.
 
Mimama ya mjini ni shidaaa, ukiwa na kausafiri sasa ndio daaa daaah, ufumbe macho tu.
 
Hii thread imesisimua waume za watu. Mi naona suala hapa ni kutimiza wajibu wako kwa mkeo na sio kuwa bully hapa.

Wanawake wengi wanalalamika yanaowatokea ndani ya ndoa na wanatafuta michepuko at any cost. Ila as a man, hakuna kitu inauma kama kuchapiwa. Kiru!

Ila niseme jambo moja... Sibishi na sikatai kwamba mwanamke ambae hajasoma anahitaji extra attention na care. La sivyo utashangaa. Kutosoma kunamfanya mtu awe insecure na kuwa na random fu.cke.d up thoughts... Been there, done that.

Waliosoma nao majanga kwani wanajiona wanajua kila kitu na wengi huwaza maslahi.

Maelewano na mawasiliano mazuri katika ndoa yanasaidia sana.

Maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom