piper
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 3,253
- 612
Una mapengo au?
Hahahaha, ana kithembe cha kuandika
Una mapengo au?
mshindweeee kwan nyie wanaume jeee ptuuuuu
Nataka lugha ya maneno
lugha za maneno mengine yana ukakasi kuyasema hadharani....!
Mimama ya mjini ni shidaaa, ukiwa na kausafiri sasa ndio daaa daaah, ufumbe macho tu.
yaandike kinyume nyume
wacha nijifunze.....lakini naogopa kwenda kinyumenyume!