Wanawake wengi walioolewa ni wepesi

Siku hizi kuna makundi ya Vijana hawana ajira, ukilala na mke wa mtu unasakwa unaliwa na wewe, kisingizio kingne hakipo, ukipigwa puli mtoto wa kiume hata ukijikausha hili litakusumbua mpaka unaingia kaburini, labda kama wewe ni shoga...
 
Siku hizi kuna makundi ya Vijana hawana ajira, ukilala na mke wa mtu unasakwa unaliwa na wewe, kisingizio kingne hakipo, ukipigwa puli mtoto wa kiume hata ukijikausha hili litakusumbua mpaka unaingia kaburini, labda kama wewe ni shoga...

Cha msingi mwambie wife wako aache kugawa papuchi, huwezi kunipata mimi kwa sababu nitakutawanya makalio yako kwa bunduki.
 
Jumlisha mama'ako na ndugu zako wa kike waliolewa,wakati mwingine uigizage japo adabu kidogo basi kwani kutulia au kuchepuka ni tabia ya mtu haijalishi kaoa,kaolewa au bado

Wewe weka mkeo, mama yako, dada yako mpaka watoto wako ukitaka. Mie nakupa experience halafu unalialia hapa. Wife wako akiliwa ndio utapata akili.
 
Hao wana pepo la ngono tu.

Tatizo hilo halipo kwa wanawake waliolewa tu bali kwa baadhi ya wanawake waliolewa, wasichana (wengine wanavyuo), wanaume waliooa na wasiooa. Hata sisi wanaume tulio katika ndoa tunasumbuliwa sana na wasichana wasioolewa. Mwingine ukimpa tu lift, akiteremka anaomba namba yako. Wengine wanachukua simu wanajifanya wanaiangalia kumbe wanajipigia. Unashangaa usiku wa manane messages zinaanza kuingia.

Usitegemee utaepuka ukimwi au kuushinda uzinzi kwa kutotongozwa na wanawake/wasichana au kwa kukataliwa unapowatongoza bali ni kwa maamuzi yako binafsi.

Kuna mwanamke, niliombwa na mume wake nimpe lift, nikampa. Toka siku hiyo ni usumbufu mtupu, alipoona simwambii alichotaka kuambiwa, akanitumia message, 'we mwanaume ninakupenda sana lakini naona una maringo, lakini tambua Dunia hii ni ndogo sana, siku utakaponihitaji nami nitakukaushia', nami nikamjibu kwa upole, 'ukifanya hivyo utakuwa umenisaidia mimi na nafsi yako'. Lakini haikusaidia, mpaka sasa katuma messages tano, nimekaa kimya na wala sitaki kumjibu. Hili ni moja lakini yapo mengi, cha muhimu ni maamuzi na akili yako kichwani.
 
Eti una watoto wanne bado unawaonea wivu watoto baba akitoa millions za ada. Juzi jimama linaona ada inalipwa linaita mashost kulalamika. Aliyeumba hii binadamu alizipa laana ya kutosha. Then limejikoroga hadi nyama inaonekana kama ---- la anyani. Aibu sana.
 
Mijitu mingine ya humu ni kuku kabisa aisee, unailetea hali halisi inayojiri hivi sasa, wanaanza kukushambulia! Sasa wewe kama mke wako alishaliwa au unatarajia ataliwa mie inanihusu nini? Mna mikwara kama mbu kwenye neti au Mbasha dhidi ya Gwajima, maneno mengi na mikwara uchovu kibao huku actions hatuoni. Wengi mlio na hasira ndio kawaida yenu, mkiwakuta wake zenu wanaliwa nyie ndio mnaanza kuomba msamaha. Waambieni wake zenu waache kuja kwa wanaume huku hawajavaa hata chupi, wanajua mambo ya fasta fasta hao!

Msitake kuniondolea swaumu saa hizi!
 
Ha ha ha so easy like this unagive up
Chuo nakisikia tu..

Kwa hiyo ningekuwa mwanachuo what next
...i never gave up, i don't usually give up.. especially when the going gets tougher, ndo nahamasika...lol
Ungekuwa mwanachuo hata salam nisingekupa..teeh! stress za vitoto vya chuo sizitaki mie!!
 
Cha msingi mwambie wife wako aache kugawa papuchi, huwezi kunipata mimi kwa sababu nitakutawanya makalio yako kwa bunduki.

Bunduki na hilo tumbo lako kubwa kama pipa upige nani utaliwa tu
 
Hizi hadithi nyingine bwana.......

Kwani dunia imeumbwa leo?

Babu DC!!
 
I started number 1, umefuatwa, 2 umefuatwa, 3 umefuatwa, mpaka ya 4? wewe hufuati wala hujatongoza? hii hadithi inatunfundisha nini, if you behave well and not invisting these things in your life you wont experience them, it looks like you are enjoying? IDIOT .... Soma magazetini na mitandaoni ujifunze wala wake za watu huishia wapi? mbwiga wee


 
yaan mshenzi namba moja ni mwanaume tena anaejua huyu ni mke wa mtu halafu unamfanya,katika ubaya wa mwanadam anaotenda moja wapo ni huu.nahisi wewe utakuwa ama ulishatembea na mke wa mtu hakika ni dhambi ya aina yake,na ili isamehewe unatakiwa uombe radhi kwa uliemtenda ndio uende mbele za MUNGU vinginevyo msamaha hakuna.wasilaumiwe wa mama kwa hili,bali ni WANAUME ndio wanaostahili lawama.
 
mkuu samahani umepanga nyumba sehemu gani?mkoa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…