Wanawake wengi ni bandia...

Status
Not open for further replies.

Pole sana mpenzi wangu. Achana nae huyo.

BTW nasikia umenisaliti eti.
 
Last edited by a moderator:

Mwanaume wa wapi huyo anahangaika na make ups? Huyo lazima atakuwa shoga.
 
tafuta ela kijana kama uwezo wa kugharamia hizo vitu vya bandia waachie wanaoweza

sio lazima kila mtu aanzishe thread kama huna jipya soma mawazo ya wenzako PERIOD

Unafanya nini hapa? Twenzetu chitchat kule. MMU siku hizi majanga.
 
Mwanaume wa wapi huyo anahangaika na make ups? Huyo lazima atakuwa shoga.

THE SO CLD WA-SHOW RUM??

hivi umewah kuwaona ma men wale wa fashion show? SIO LAZIMA AWE NI PUNGA but MOST OF THEM THEY LIKE BEING SMART.

zaidi ya kunyang'anyana make ups hawana lolote kwaza kwao wanajifunza kufanya matusi wanaharibu shape zao sijui ama sijui sura zitazeeka mie hata nashindwa kuwaelewa.

THANK GOD IF YOU AINT ONE OF THE
 
Why uwwke minyelw ya bandia mmc pendi kwanza inanukaaaaaaaà kinyaaaaaa itafikiri panya kaoza
 

Namshukuru Mungu hajanijalia toto la kiume. Manake mwanangu wa kiume nimkute anajiremba. Namchapa risasi makalioni.

Wanaume tumeumbwa kufanya kazi. Mwanamke kaumbwa apendezeshe dunia. Mwanamke ni pambo la nyumba.

Wanawake wawe warembo, wanaume wawe wasafi. Nimesema mimi babu yenu. Na usafi wa mwanaume si wa mwili tu, bali wa vitendo pia. Amhudumie mwanamke wake kitandani mpaka ajisikie saffeyyy
 
Ukiona bandia acha kachukue natural......

Umesema Truu kwani kwa mtindo huu wa jamaa'angu ata kuvaa nguo siyo natural kwa vile hatukuzaliwa nazo.Kingine ajue kuna kitu kinaitwa Value Added Service(VAS) au kwa lugha nyingine huduma ya ziada ambacho ndo kinachofanywa na dada hawa.Asili ya simu kuanza ilikuwa mawasiliano ya mdomo (sauti) hadi kufikia leo hii mangapi yameongezwa mfano calculator,Sms,Tochi nk nazo tuzikatae kwa vile ni Robot.

 
kaka OLESAIDIMU knachonikera mimi ni utumiaji wa msemo "samaki mmoja akioza" bila hata kufkria mazngra
 
Last edited by a moderator:


Hili wazo lako la leo....lol...mie hoi kabisa..


Wazo la leo ........" bila pesa mademu wazuri utaishia kuwaita shemeji"


hivi nsee a muro, wanaume showrum wanakuwaga na mkwanja?

au bado magumashi tu?
 
Nachural atawaweza? atuachie sisi tu......maana kila kitu ni mwendo wa alovera na GNLD products......kichupa kidogo kinafika hadi laki kumi.

Ataweza wapi huyo,,, ndo maana kaja kulalamika..... Na akae akujua hakuna nafuu.
 
Why uwwke minyelw ya bandia mmc pendi kwanza inanukaaaaaaaà kinyaaaaaa itafikiri panya kaoza

Nilipoweka kolezo kwanini nawe usitumie asili ukaamua kutumia bandia.Ayo maneno ni lugha iliyokubaliwa itumike wapi.
 

yaani Asprin umepinda wewe??
yaani nimeusoa huu uzi wote nilipofika hapa wewe na huyu nsee a muro mmeniacha hoi.
BTW usiku uko lindoni ama??
 
Last edited by a moderator:

halafu watu wanajiuliza kwanini NAKUPENDA sana.....utaachaje kumpenda mwanaume kama wewe

na leo kama unakesha nakuja tukeshe wote wallahi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…