Wanawake wengi ni bandia...

Wanawake wengi ni bandia...

Status
Not open for further replies.
MEN STOP KIDDING YOUR SELF GUYS!!....................

I think we are too artificial because men chose to wear makeups as ladies, and now ladies do not want to have the same look, so we opted for an exceptional make up style.
Mkiacha kujiremba tutarudi kwenye unatural but kama mkiendelea ndo kabisaa mtatuskia kwenye bomba,,,,,,,,,,,

HAHAHAHAHAHAHHA........WEEE ULIYE TUU UCHEKE UNA MBAVU?

mmh.....hii nayo kali aisee,

Ina maana kuna ukweli hapo kuwa mpo artificial?
 
mmh.....hii nayo kali aisee,

Ina maana kuna ukweli hapo kuwa mpo artificial?
You are saying it and not me!
The fact is stop wearing make ups as ladies and ladies will stop wearing wigs and nails.

I think the heading was supposed to be WANAUME ACHENI KUJIPAMBA KAMA WANAWAKE.
 
Nashindwa kuwaelewa ma men a siku hz, manajidai mna swangaaa, wakati kila tukiwatafuta hatuwaoni..............mnapiga keleleeeeeeeee lakin mabingwa wa kushinda kwenye cosmetic shops ni nyie.
Tena siku hizi ukijinunulia ka fair&white kako ujue siku ka boy kako kanagonga gheto na kenyewe kanautimba.
MARA eti wanapaka nail polis na lipshine poda usisem na enjoy face.........

hahahahhahah!!! dukan kwa ZIZZOU tunapishana mara enjo face za marks, mara lipshine za lorys, mara sijui nail polish, na bado na kutinda mnatinda na wanja mnapaka.

Poor you men!!!...........SIKU HIZI SUSEN YUKO JUU NA MIKOBA NA WALLET ZA MAANA NJOON NAKO MTUGEZE ILI TWENDE SAWA............
 
NA NIMEREASON WISELY KWELIKWELI NA REASONS GIVE TRUTH NAJUA VIZURI KUMWITA MBWA NI KUMDHARAU KWA NONO SENSE ZAKE ZA KUJIPA MOYO WAKATI YEYE NI TAKATAKA KABISA...FAKE MWANZO MWISHO...JE WEWE UNAFURAHIA KUWA FAKE!!!

[
QUOTE=Heaven on earth;7708909]Reason wisely na sio kutukana ka huwezi kaa pembeni....

na ka ye ni Mbwa ya nini kupoteza muda wako kubishana na Mbwa.....[/QUOTE]
 
Misura ya bandia,mikucha ya bandia,minywele ya bandia na hata 'ikulu' za bandia. Halafu kwa kudengua motoooooo.Na kutembea kwa madaha ndio wenyewe. Hawana tofauti na maroboti....wanakereketa sana
lIKE WISE YOU MEN................., lipshine kama sisi, nail polish kama sisi, enjoy face za marks kama siye.....................na bado hamieni kwa susen mbebe mikoba na wallet kama sie.
Halafu kama nyie ndio kabisaaaaa mapoyoyo poyoyo kwa bedi mpaka mtu unajuta hivi kwann nilimvulia mtu kama huyu.
 
NA NIMEREASON WISELY KWELIKWELI NA REASONS GIVE TRUTH NAJUA VIZURI KUMWITA MBWA NI KUMDHARAU KWA NONO SENSE ZAKE ZA KUJIPA MOYO WAKATI YEYE NI TAKATAKA KABISA...FAKE MWANZO MWISHO...JE WEWE UNAFURAHIA KUWA FAKE!!!

/QUOTE]

WHO IS FAKE BTN LADIES AND MEN?
 
123Kape kumwita mbwa binadam mwenzio is not reasoning wisely........

maana nakukumbuka sana kuna kipindi pia ulikuwa unanitukana kisa we are viewing things differently

ndio maana hata sa hivi ulivyomwita Honey Faith mbwa nikajua tabia yako ni ile ile ya kutoa matusi
 
Last edited by a moderator:
mleta mada domo zege, unataka wote wawe natural utawachukua wewe? fanya bidii kwa wa kwako sio kwa wanawake wote, wengine wasimamia shoo ndio wapendavyo hivyo uvichukiavyo,
 
Nashindwa kuwaelewa ma men a siku hz, manajidai mna swangaaa, wakati kila tukiwatafuta hatuwaoni..............mnapiga keleleeeeeeeee lakin mabingwa wa kushinda kwenye cosmetic shops ni nyie.
Tena siku hizi ukijinunulia ka fair&white kako ujue siku ka boy kako kanagonga gheto na kenyewe kanautimba.
MARA eti wanapaka nail polis na lipshine poda usisem na enjoy face.........

hahahahhahah!!! dukan kwa ZIZZOU tunapishana mara enjo face za marks, mara lipshine za lorys, mara sijui nail polish, na bado na kutinda mnatinda na wanja mnapaka.

Poor you men!!!...........SIKU HIZI SUSEN YUKO JUU NA MIKOBA NA WALLET ZA MAANA NJOON NAKO MTUGEZE ILI TWENDE SAWA............

Hivi type hii ya wanaume mnawatoa wapi....lol..?

hapo kweli wote mmekutana, cheni bandia/pesa feki!mwendo mdundo
 
Sio wanawake tu hata baadhi ya wanaume nao ni bandia, kwani wanajichubua, kusuka, kutoga pua na masikio, acha unyanyasaji huo.
 
lIKE WISE YOU MEN................., lipshine kama sisi, nail polish kama sisi, enjoy face za marks kama siye.....................na bado hamieni kwa susen mbebe mikoba na wallet kama sie.
Halafu kama nyie ndio kabisaaaaa mapoyoyo poyoyo kwa bedi mpaka mtu unajuta hivi kwann nilimvulia mtu kama huyu.

Hivi kweli nsee a muro, tuongee ule ukweli kabisa,

Haya umepitapita huko, ukatongozwa, na kibwana chenyewe kinachokutongoza ndo hicho,

cha kugombania na wewe lipshine, nail posh na enjo face sijui,

hivi kweli hapo unategemea kuna mwanaume hapo?

yumkini huyo hata kitandani huwezi jiuliza mara mbili kuwa atakutosheleza.......

Tatizo macho yenu yanadanganyika kwa vingi katika kila yanachoona.......poleni
 
Hivi type hii ya wanaume mnawatoa wapi....lol..?

hapo kweli wote mmekutana, cheni bandia/pesa feki!mwendo mdundo

Hivi wewe huwajui hawa?
Fanya utafiti kwenye ofc yenu utagundua, ukiona mwanaume anajipenda penda, kila saa katoa leso anajifuta vumbi, akikaa mara anachana nywele jua huyu ni mwanaume wa show rum.

jitu kama hili hata ukienda nalo faragha haliwez kazi,,,,,,,,,,,,,

Of course na admire the so called mwanaume wa kweli the man who knows what takes to be a man.
 
Hivi kweli nsee a muro, tuongee ule ukweli kabisa,

Haya umepitapita huko, ukatongozwa, na kibwana chenyewe kinachokutongoza ndo hicho,

cha kugombania na wewe lipshine, nail posh na enjo face sijui,

hivi kweli hapo unategemea kuna mwanaume hapo?

yumkini huyo hata kitandani huwezi jiuliza mara mbili kuwa atakutosheleza.......

Tatizo macho yenu yanadanganyika kwa vingi katika kila yanachoona.......poleni
YOUR VERY RIGHT DUDE!!,,,,,,,,,,,,,,,

Nililoba step truly nilikuwa na bwana wangu wa lingi sana yaani the guy was excellent, and smart kwenye kila eneo,
Sasa si unajua ibilisi nae ni mtu?,,,,,,,,,,,,siku nikamwona bonge la bwana mitaa ya shop flan hivi, bwana ananukia unyunyu wa kiume usipime, ana pozi nikasema lolest!! he is the man i deserve. Sinikajitupa mzima mzima alipoleta swanga za kunitongoza??

Tukaanza kudate, jaama ni kama vile unevyomwona Denzel washington, nikasema sasa naanza kuuza sura na mwanaume wa ukweeeh!! Si nikaanza kujishongondoa, ikawa ikitokea party naenda nae, mara tuna dine pamoja. Ila huku kote hatukuwashana tamaa.

Sasa katokea siku nikamchokoza, leo tukalale sote, jamaa mind you ni six pack la ukweli tukaonelea twende home kwake as hakuna haja ya kupoteza pesa kwa kulala hotelin. Kweli home kwake pako fresh si unajua geto la mtu wa mabling bling?? Na mie mwenyewe toto la migomigo uhuni wote wa mjini naujua, so sikuwa na papara.

Nikamwomba anionyeshe wash rum nikajimwagie maji basi nikamchokoza twende nae, basi akakubali mautundu yote ya bafuni jamaa kaa namfanyia mtoto vile dah!! nikasema labda kachoka ama baridi manake maji yalikuwa ya baridi. Kufika kwa bed, yani hana anachokijua kila nikjitahd mtoto wa kiume kachoka, nikasema labda leo kwa kua ni siku ya kwanza may be alijaza kichupa. Manake ilikuwa hachukui dk 3 kesha tema mzigo nikasema nisiwe na papara nimpe sec chance.
Next time kurudia game hali iko vile vile, basi awe na utundu wa ziada hana. nilidumu naye kwa miez sita nikachoka kabisa nikajisema siwez kuwa na kazi ya kufuga nyege.............NIKATUPA KULEEE

NDIPO NILIPOMKUMBUKA SANA X WANGU AMBAYE NILIMWACHA KWA KUPENDA WA SSHOW RUM.

mie ukija sijui na unyunyu, makucha umeyapolish sijui umetinda ntaishia kukuambia neno moja tu zungusha mtarimbo wako hadi mkiani ukurahatupishe mwenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom