Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,426
- 28,231
Sasa mkuu kucheza kamari nalo ni jambo la kumsifu mtu kuwa ana uelewa mpana wa mambo?Sio wote mkuu,
Ujue kuna wanawake mpaka wana_bet wanachambua odds kama hawana akili timamu
huo ni mfano tu kwenye mambo ya sports .....hapo unakuta ke huyo huyo kwenye tech ,siasa, internation news ..nk kuna wanawake wako fit sana kwenye kila nyanja.Sasa mkuu kucheza kamari nalo ni jambo la kumsifu mtu kuwa ana uelewa mpana wa mambo?
Hata ukiangalia vipindi vingi vya mahojiano ya masuala mapana ya kitaifa na kidunia, uchumi, biashara michezo utakuta watoa mada, wachambuzi na wanaohost wengi ni wanaumehuo ni mfano tu kwenye mambo ya sports .....hapo unakuta ke huyo huyo kwenye tech ,siasa, internation news ..nk kuna wanawake wako fit sana kwenye kila nyanja.
Sahihi mkuu, hata shoo zako ukimlomba usikute mashosti zake wote wanazijuaNa mademu wa mfumo huo ukijichanga akawa baby wako ,sio shida zake kuwasimulia majirani vile unakula sana ,mara hupendi kuoga yaani ni shida sana
Ni hatari sana ,ndiyo maana ukimpqta mwanamke mwenye uelewa wa mambo mengi ,ringa sana aiseeSahihi mkuu, hata shoo zako ukimlomba usikute mashosti zake wote wanazijua
Umesema vyemaNi hatari sana ,ndiyo maana ukimpqta mwanamke mwenye uelewa wa mambo mengi ,ringa sana aisee
Usiwalaumu wala kuwakejeli. Fahari wawili hawakai zizi moja. Wao hawajaumbwa kuchakata mambo magumu,ndio maana wamewekwa kuwa chini ya Mamlaka ya Mwanaume!.Kuna mabinti, wanawake na madem wengi wanachosha kuzungumza nao.
Hawana uelewa wa kinachoendelea duniani, kwenye tech, siasa, wala mada pana.
Mazungumzo yao ni kuhusu drama za celebrities kama kina Diamond na Zuchu. Kutwa kufuatilia watoto wa Paula na Marioo.
Alafu hawafanyii kazi ndoto zao, kwao ni jukumu la mwanaume kuzitimiza.
Mtu hana muda hata wa kufuatilia taarifa ya habari hadi unajiuliza anaishije huyu yaani yeye tamthilia tamthilia na yeye.
Wanafurahi kukomenti kwenye page za umbea wapate likes.
Hata ukimchukua mwanamke aliyesoma ukimtoa nje ya field yake hakuna kingine anachojua zaidi ya umbea.
Mfano mzuri ni hapa JF ingia majukwaa ya intelligence, great thinkers, kimataifa, siasa, ajira na tenda, afya huwezi kukuta mwanamke anacomment cha maana. Ila ingia mada za umbea na ngono MMU wako active
Na hili sio janga la Tanzania tu ni dunia nzima wanawake uwezo wao wa kuchambua mambo mapana ni mdogo sana na wengi hawajui chochote kwenye hii dunia.
Ni jambo la kushukuru sana kuumbwa wanaume
Na ukikuta kozi ya chuo ina mademu wengi ikimbieNdio maana kwenye hiyo field wanaume ni wachache pia, na wakiwepo mnawashangaa sana.. hebu mtupumzishe vinywani vijana looh!
Hoja zenye mashiko ndio kuchambua siasa? Binafsi sipo kwenye hizo platform umeorodhesha hapo juu lakini sio sababu ya kuanza kuchambua mpira wala vipindi vya mahojiano!Umesema vyema
Ni wachache mno, mwanamke ambaye mnaweza mkakaa mkazungumza mambo ya msingi akatoa hoja zenye mashiko
๐๐๐๐๐Ndio maana kwenye hiyo field wanaume ni wachache pia, na wakiwepo mnawashangaa sana.. hebu mtupumzishe vinywani vijana looh!
Siku hizi hakuna hayo mambo itakuwa umesoma zamani sana, lawyers ni wengi sana na bado course ina dadaz wengi pia, or else wanaume wote wasome engineering na makozi ya computer uko!Na ukikuta kozi ya chuo ina mademu wengi ikimbie
Mwanaume ukiingia humo kusoma umejichanganya
Wenzako wataolewa wewe je?
๐๐๐๐๐๐ nimechekaaaa, kumbe ndo maana fulani anaheshimiwa kumbe kapiga kozi ya kibabeee.Na ukikuta kozi ya chuo ina mademu wengi ikimbie
Mwanaume ukiingia humo kusoma umejichanganya
Wenzako wataolewa wewe je?
Tho wanaendeshwa na hisia zaidiWanawake wana akili kubwa sana , ila wanavunga tu , usiniulize kwanini ila wewe jua hivyo tu