Wakuu
Salaam ni matumaini yangu nyote ni wazima.
Back to the topic
Leo kwenye pitapita zangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na post moja iliyonifanya nijisemee maneno haya "wanawake wengi ni vichaa".
Post hiyo imeandikwa na kibinti cha Kenya sikuelewa alikuwa anatania au alikuwa serious lakini kiukweli ilinifanya nifikie uamuzi wangu hapo juu kuwa "mademu" wengi wana "vichaa" au wanamatatizo ya kufikiri.
Nanukuu post ya huyo binti inasema "I REALLY HATE SEEING A MAN WITH A MARRIAGE RING KWA MATATU.HOW DID YOU DECIDE TO HAVE A WEDDING BEFORE BUYING A CAR?
MEN SHOULD LEARN TO PUT THEIR PRIORITIES RIGHT.
Haitaji degree kuelewa kama hiki kiumbe kina matatizo.
NB nimesema WENGI sijasema WOTE natanguliza samahani kwa niliowakwaza
Usiku mwema