Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

Kama huyu mrembo
IMG-20180413-WA0002.jpg
 
Wanaume tusiwachanganye wanawake. Kila siku tunakuja na matamko mapya wanashindwa wasimame upande upi?

Ushauri kwa wanawake, mjikubari jinsi mlivyo usitake kumvutia kila mtu(mwanaume).

Elewa kuna mwanaume unamvutia hivyo hivyo jinsi ulivyo.
 
Hivi mwanamume Mwenye akiri timamu aliesoma mwenye dira Ya kimaisha unaenda kuoa mwanamke kimbau kisa ni msomi au anasura nzuri
Jamani mwanamke mwembamba hawezi kuwa kwenye bonge la nyumba akaonekana ni mama mwenye nyumba huonekana Kama msichana wa kazi tu, unatembelewa na Rafiki yako anaingia sebureni anamkuta kimbau kinapebea kwenye makochi jamani yani ukiwakuta wamekaaa kwenye kochi utadhani ni msichana wa kazi haya sasa aingie kwenye gari mnaenda kanisani anakaaa robo siti yani kuna Wakati unafikiri uko pekeee yako mtu akikuomba rifti ukisimama anafungua mlango wa mbele akidhani uko pekeee yako akifungua walllllaaaa kumbe kuna mtu
Unaujua utamu wao kwenye kwichi kwichi hao unaosema mbau mbau? Au nawe ni tukunyema
 
Hivi mwanamume Mwenye akiri timamu aliesoma mwenye dira Ya kimaisha unaenda kuoa mwanamke kimbau kisa ni msomi au anasura nzuri
Jamani mwanamke mwembamba hawezi kuwa kwenye bonge la nyumba akaonekana ni mama mwenye nyumba huonekana Kama msichana wa kazi tu, unatembelewa na Rafiki yako anaingia sebureni anamkuta kimbau kinapebea kwenye makochi jamani yani ukiwakuta wamekaaa kwenye kochi utadhani ni msichana wa kazi haya sasa aingie kwenye gari mnaenda kanisani anakaaa robo siti yani kuna Wakati unafikiri uko pekeee yako mtu akikuomba rifti ukisimama anafungua mlango wa mbele akidhani uko pekeee yako akifungua walllllaaaa kumbe kuna mtu
Watu mnamaneno jamani duu sijui mnawazaga nini mmm aiseee[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Yani mke bwana awe mnene hata Kama sio Sana akikaa ndani anajaaa ukisema huyu ndio Mamma watoto yes akikaa kwenye gari mnasafiri ajae kwenye siti akikaa kwenye Koch amepiga bukta ajae kwenye koti Akivaaa Della aonekane kiuno matako mgongo na kifua sio mwanamke akivaa Della unatembea nae watu wanadhani uko na ustaadhi
Haya sawa wamekusikia waoaji [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Yani ukimpa gari aendeshe bwanaa weeee utadhani gari inajiendesha yenyewe maaana Hawa huwa gari linawavuta wanaendeshwa na gari badala Ya kuliendesha Hawa bhana kila sekta hawanogi eti wanavaaa kitandani maaana wanakunjika heeee mke wa ndani hakunjwi hufanywa taratibu kieshima mwendo wa taratibu taratibu kukunja hukunjwa michepuko
Huuuuwiii michepuko ya waume za watu mnasikia mkiambiwa mnapendwa sikieni sasa mke anaheshimiwa ila tu hatujielewagi tu binadamu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom