Ambilikisye anna
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 561
- 499
Lahaulahhhh ngoja nimeze vidonge vya unene wallah!Yani mke bwana awe mnene hata Kama sio Sana akikaa ndani anajaaa ukisema huyu ndio Mamma watoto yes akikaa kwenye gari mnasafiri ajae kwenye siti akikaa kwenye Koch amepiga bukta ajae kwenye koti Akivaaa Della aonekane kiuno matako mgongo na kifua sio mwanamke akivaa Della unatembea nae watu wanadhani uko na ustaadhi