Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani... mm wembamba binafsi nilikuaga nao ,sasa hivi siutaki kabisa, hata mabwana walioniacha walikua sawa kabisa.. jamani mwanammke kila unaponishika kongoro... kwakweli walikua right
 
Hahah!! Kawa na rangi mchanganyiko...

Seme wengi wakioa na kuolewa huwa wananenepa sijui kwenye ndoa kuna nini huko?
Sijui kuna nini kwenye ndoa, tuliokuwa miili kiasi tuna nawiri sasa hao vimbaumbau uwiii tuna wapisha wapite tu[emoji185][emoji185][emoji185][emoji185]
 
Sijui kuna nini kwenye ndoa, tuliokuwa miili kiasi tuna nawiri sasa hao vimbaumbau uwiii tuna wapisha wapite tu[emoji185][emoji185][emoji185][emoji185]
Kwani rafiki unataka kuniambia na wewe hupo ndoani?
 
Ni wabishiiiii? Hawaelewagi mtu. Hawana tofauti sana na ma andunje[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom