Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

Hujawaumba wewe aliyewaumba anakusudi
 
Haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah haha hahah
Cheko hili duu kunywa na maji kabisa [emoji16][emoji16]
 
Kumbe Dar kuna raha!!! Huku mkoani pamoja na mvua na baridi kali, MTU hawezi kuacha kwenda kazini. Itabid nikaweke makazi ya muda huko ili nami nifaid
Haa haa haa mkoan raha bhana watu
Tunakanyaga na tope hvo hvo kwenda
Kazn lkn huko Kwa bashite n maji
Tu lkn wanaogopa kukanyaga
 
Mwanamke Mwembamba Ukimkumbatia Na Mvua Hizi Unakuwa Kama Upo Kwenye AC,Ila heavy weight full ujoto joto
 
Ungekua wembamba hauna soko watu wasingehangaika na madawa ya kupunguza unene na madayati.

Portable easy to carry.
Utakuwa unajitetea tangu lini chips ikaliwa bila kachumbali? Mwanamke Nyama bhana sasa na hizi mvua utatoa wapi joto usiku ili upate usingizi? Maana kimbau mbau hakina joto mifupa tu
 
Yani mke bwana awe mnene hata Kama sio Sana akikaa ndani anajaaa ukisema huyu ndio Mamma watoto yes akikaa kwenye gari mnasafiri ajae kwenye siti akikaa kwenye Koch amepiga bukta ajae kwenye koti Akivaaa Della aonekane kiuno matako mgongo na kifua sio mwanamke akivaa Della unatembea nae watu wanadhani uko na ustaadhi
[emoji1] [emoji2] kuna watu mna dhambi jamani[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
 
Kumbe Dar kuna raha!!! Huku mkoani pamoja na mvua na baridi kali, MTU hawezi kuacha kwenda kazini. Itabid nikaweke makazi ya muda huko ili nami nifaid
Hahaaa huku mvua ya leo kiboko, unapanda gari masaa5 ndiyo ufike kazi piga pic unaondoka nyumbani saangapi, huku hata ukila ugali wako wa moto na vyama vingi tayari joto, karibu sana
 
Back
Top Bottom