Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,020
Hahah!!Bila shaka atakuwa huyo huyo, sasa huyo akinenepa sijui atakuje
Sitaki ata kuwaza itakuaje
Hahah!!Bila shaka atakuwa huyo huyo, sasa huyo akinenepa sijui atakuje
Hahahaaaaa!! Sawa love.labda usawa huu ndio kakonda usipangie watu love
Hivi mwanamume Mwenye akiri timamu aliesoma mwenye dira Ya kimaisha unaenda kuoa mwanamke kimbau kisa ni msomi au anasura nzuri
Jamani mwanamke mwembamba hawezi kuwa kwenye bonge la nyumba akaonekana ni mama mwenye nyumba huonekana Kama msichana wa kazi tu, unatembelewa na Rafiki yako anaingia sebureni anamkuta kimbau kinapebea kwenye makochi jamani yani ukiwakuta wamekaaa kwenye kochi utadhani ni msichana wa kazi haya sasa aingie kwenye gari mnaenda kanisani anakaaa robo siti yani kuna Wakati unafikiri uko pekeee yako mtu akikuomba rifti ukisimama anafungua mlango wa mbele akidhani uko pekeee yako akifungua walllllaaaa kumbe kuna mtu
Hueleweki ww, kimbau mbau umo ,mbonge umo- hebu simama miguu yote upande mmojaNdio hapo sio wote wanapenda mabonge jamani asante mkuu kwa kutufariji
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] atakuwa kama mbuyu, kuna dada alikuwa mwembamba mno, kwasasa tuliokuwa tunaonekana wanene tukiwa student sahizi mie simpati hata kidogo aliolewa nikiwa kidato 2 bonge ya mamaHahah!!
Sitaki ata kuwaza itakuaje
Alinenepa baada ya kuolewa?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] atakuwa kama mbuyu, kuna dada alikuwa mwembamba mno, kwasasa tuliokuwa tunaonekana wanene tukiwa student sahizi mie simpati hata kidogo aliolewa nikiwa kidato 2 bonge ya mama
Auntie mambo za jf huzijui wewe huwa hatueleweki jinsia wala maumbo
Ndiyo kilikuwa chembamba mno na hizo black wanazosema sasa kawa white usoni huku kwingine Mungu anisameheAlinenepa baada ya kuolewa?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Etii na usitaadhiiYani mke bwana awe mnene hata Kama sio Sana akikaa ndani anajaaa ukisema huyu ndio Mamma watoto yes akikaa kwenye gari mnasafiri ajae kwenye siti akikaa kwenye Koch amepiga bukta ajae kwenye koti Akivaaa Della aonekane kiuno matako mgongo na kifua sio mwanamke akivaa Della unatembea nae watu wanadhani uko na ustaadhi
Well said mkuu. Hadi Natamani nikupe zawadi. UbarikiweWanaume tusiwachanganye wanawake. Kila siku tunakuja na matamko mapya wanashindwa wasimame upande upi?
Ushauri kwa wanawake, mjikubari jinsi mlivyo usitake kumvutia kila mtu(mwanaume).
Elewa kuna mwanaume unamvutia hivyo hivyo jinsi ulivyo.
Hahah!! Kawa na rangi mchanganyiko...Ndiyo kilikuwa chembamba mno na hizo black wanazosema sasa kawa white usoni huku kwingine Mungu anisamehe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Eti skeleton[emoji13] [emoji13] [emoji119]Mimi mwembamba halafu nikachukue mwanamke mwembamba si tutazaa mtt skeleton.
Hahhahahahahhahahah utakuwa unakimbau mbau hadiekimekuambukiza hasira na mdomo Vina mdomo hivyo vimbau mbau na Vina matusi angalia sasa kimbau mbau chako kimekuambukiza tabia sasaacha kuingilia maisha ya watu. Chagua chaguo lako wengine waache na hisia zao.
Kuna mengi mazuriHahah!! Kawa na rangi mchanganyiko...
Seme wengi wakioa na kuolewa huwa wananenepa sijui kwenye ndoa kuna nini huko?