Wanawake wazuri wazuri wameolewa.........................

AAAAAAAAAH...Utakoma!!!!!!
mwenzio leo kishakwambia ana hamu ya kupigana na ushaingia kwenye himaya yake
Sijui unauweza uJOHNCINA

Heheheh.. Mbona unanirushia mpira tena!! Ngoja aje!! aseme nani amemchokoza!! Loh!
 
Sijui kama utasalimika leo? mi nlikwambia wapo watakaokuja kukumeza ushaanza kuwataja mwenyewe
Husninyo kuna mtu ana shida na wewe...hebu njoo umtatulie
 
Kuna wengine nawaona hapo chini!! mpaka naogopa!! Loh! Sijui ndio navutiwa kasi!!

Lakini Jamani si ndio ukweli wenyewe!!
 
Kwa hiyo we mtoa maada unataka kutuambia wanawake wote ambao hawajaolewa ni manungayembe, au??

Akuuuh!!! mi sijasema hivyo!! we ndio wasema!! Loh!
 
Mwanamke mwenye tabia njema kuolewa ni fasta nungayembe lazima ligongwe kwanza mpaka litie akili ndo kuja kuolewa kudadadeki. Wanawake mmekuwa wakaaaaaaali si muanze kuoa kama India kama mnajafanya mna mihasiiiiiira. Hata mkinuna muoaji ni mwanaume akipenda ndio anatangaza nia hata kama ni mrembo vipi waweza kuchapa lapa ukiwa nungayembe.
 
Unakwepa nini sasa?? Unaleta utani eeeh? Hujui kama hiyo ni defamesheni? Haya, thread yako ina maanisha nini? Ebu elezea!

Loh! Tumsifu Yesu Kristu!!
 
Mwanamke mwenye tabia njema kuolewa ni fasta nungayembe lazima ligongwe kwanza mpaka litie akili ndo kuja kuolewa kudadadeki. Wanawake mmekuwa wakaaaaaaali si muanze kuoa kama India kama mnajafanya mna mihasiiiiiira. Hata mkinuna muoaji ni mwanaume akipenda ndio anatangaza nia hata kama ni mrembo vipi waweza kuchapa lapa ukiwa nungayembe.

Loh!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom