interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
ACHA UPOPOMA, SULEIMAN ALIKUWA NA WANAWAKE WANGAPI NA ALIRIDHIKA LINI KTK KUJAMIIANA?
mimi ni nyani mzee tena mzoefu, wewe endelea kula wabovu huku umefumba macho[emoji23][emoji23][emoji23]SIYO KILA MWANAMKE MZURI KIMAUMBILE BASI NDIYO TIKETI YA KUOLEWA, WENGINE HUBAKI KUTUMIKA KTK STAREHE TU LKN KTK MAISHA HUWA HAWANA VIGEZO VYA TABIA NJEMA.
AMKA USINGIZINI WW DOGO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mmoja anamzuri wakeWakuu habarini humu ndani..,
Mwenzenu nimegundua kitu kuhusu wanawake wazuri sana na warembo,,hawa watu hawafai kuoa,kwanza asilimia kubwa wanaroho mbaya hawawezi kuishi na ndugu,hawana akili ya maisha,ni Malaya,sio wavumilivu ndani ya ndoa,.wanakasoro nyingi mnoo.
Nilichogundua washkaji wengi wenye wake wazuri ndoa zao zina shida nyingi mnoo.
Ushauri wangu kwa vijana ambao hamjaoa tafadhari kueni makini namabinti hawa warembo ni matatizo makubwa sana ndani ya nyumba.
mimi ni nyani mzee tena mzoefu, wewe endelea kula wabovu huku umefumba macho[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
umeongea kweli, Watanzania hasa wanaume ni wengi ni waoga na hawajiamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!!ACHA UPOPOMA, SULEIMAN ALIKUWA NA WANAWAKE WANGAPI NA ALIRIDHIKA LINI KTK KUJAMIIANA?
KUTORIDHIKA NI NATURE YA WANAUME WOTE LKN NI NEEMA YA MUNGU NDIYO HUTUSHINDIA TAMAA ZA KIDUNIA NA KUJIHESHIMU.
JITAMBUE KIAKILI SIYO KIMIHEMUKO WW KILAZA.
Sent using Jamii Forums mobile app
achana na mpenda milupo hadi akili imekuwa na makengezaDah!!
Sawa mkuu, nimekuelewa!!
JF kiboko aisee,
Nimeambulia matusi hapaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
KAULI ZA KUKU WA KIZUNGU KWELI HIZI.mimi ni nyani mzee tena mzoefu, wewe endelea kula wabovu huku umefumba macho[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Thread za marudio hizii ..zishaletwa sana humu
Jamaa ni boyaHili limewahi kumtokea jamaa mmoja, alioa mwanamke mzuri sana.
Siku za mwanzo mambo yalikuwa safi baada ya kufunga ndoa, kadri muda ulivyozidi kwenda. Jamaa alikiona cha mkata kuni
Mwanamke alifikia hatua ya kumtuma dukani mume wake.
Haikupita muda mrefu ndoa ikavunjika.