Wanawake wazuri hawafai kuolewa?

Leo sikuachi ng'oo[emoji23][emoji23]hadi uniote usiku
Hapo sawa kabisa.

Silali usiku nakuota tu, kila nikinywa maji nakuona kwenye glasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanafaa kabisa kuoa, mambo mengine ni tabia ya mtu, kwamba atajiheshimu vipi akijua yeye ni mke wa mtu. Usumbufu unakuja pale mnapoongozana naye kwenda sehemu, macho ya wanaume wenye kumham, wengine watamminyia macho mbele yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UNA UTANI NA WAZEE WA KUOA SHOW OFF BADALA YA KUOA WAKE WEMA?

NGOJA WAJE KUKUTOA ROHO[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaa hapo pa vibuyu kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuumbiwa uzuri na vigezo vingine km upeo, heshima, maarifa n.k sababu utajiona ww ni sawa na Malaika au Mungu jnc ilivyokuwa kwa shetani kule mbinguni.

So Wanaume wezangu stukeni mapema muwe makini ili mpate wake wema zaidi[emoji847]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni ujinga, warembo waolewe na nani?
hata huyu wa kwako mwenye sura ngumu inakusababisha uchepuke, halafu wakati wa kumla unavuta hisia kwa mrembo, hayo ni mateso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaoa wanawake wabovu kila kukicha wanachepuka had kuzaa nje huku jf wajifariji. Hamna binadamu anayetaka kitu kibovu never
acheni ujinga, warembo waolewe na nani?
hata huyu wa kwako mwenye sura ngumu inakusababisha uchepuke, halafu wakati wa kumla unavuta hisia kwa mrembo, hayo ni mateso

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…