jamani vijana tujifunze tusiwahi kuoa wakati bado hatujashika nafasi za juu matokeo yake ni kuoa uglies...subiri kwanza mpaka umepata cheo cha maana mbona warembo papuchi zai zinajileta tuu...wanavyopenda uspooni hahaha...ngoja nikae single mpaka nichukuwe nafasi ya gavana wa benki kuu