Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,909
Yule jamaa kwenye tangazo la Vodacom "naenda kwa bibi" kagundua ile pesa mkewe alitumiwa na mchepuko na sio Vodacom,Hatua aliyochukua ni kurudi mjini kwa mguu nimekutana nae hapa Bunda imebidi nimpe lift sasa hivi tupo kisesa tunaingia Mwanza
Wanawake ni watu wabaya sana,kumbe ile pesa ni ya mchepuko wake
Wanawake ni watu wabaya sana,kumbe ile pesa ni ya mchepuko wake