Wanawake watawala Dunia soon

Wanawake watawala Dunia soon

Duuuh ..very sad, mke aniache ndani afya na nguvu ni nanazo!!!
Haikubaliki kabsaaa
He,heh....
Anakuacha tena na maagizo juu utaskia
" baba angel mi ndo naondoka, chai nimeshapika nimeweka kwenye thermos, alaf angel akitoka shule mwambie achague maharage abandike jikoni, na pia umkumbushe ampe mtoto dawa"
Asa we kidume unadhani anaacha maagizo umpe mtoto kumbe ni wewe, alaf mwanaume bdo anajiita kichwa cha nyumba.
 
Mwanaume wa namna hii atakua na krek kichwani
 
Kimsingi hillary clinton hana Ushawishi mkubwa yeye kama yeye buli watu wanaamini nasaha za clinton na ukaribu wake na watu wengine kama obama utamsaidia kuiongoza nchi otherwise lile ni pazia tu hata chakusema anapangiwa na ukichanganya na kauzoefu alikonalo mambo ndo yanaenda

Mbwa wangu mimi anaitwa donald trump [emoji116][emoji116]
efd1efed514fef6929124ff8ec8b1848.jpg
 
ubarikiwe mkuu wanaume tupingane na huu ushetan unaoitwa haki sawa
Haaa nimecheka kidogo,kwani tumeomba tuwe sawa na wanaume.Mimi binafsi siitaji usawa na mwanamme au niwe sawa na mwanamme .Mimi na mwanamke na niko na uwezo wa kufanya mambo makubwa kuliko hao tunaosema wanaume na tunaweza bila kuomba usawa.Tunachoitaji ni kuwezeshwa tu .
 
Point tupu[emoji106][emoji106]
 
Niko naangalia CNN nikaanza kutafakari mambo mengi kimoja nikavutiwa na uchaguzi wa Marekani huku nikifuatilia kwa makini mijadala ya uraisi wa Marekani.

Lakini navutiwa na mwenendo wa sasa ambapo soon wanawake wanakuja juu kwa kasi kutawala mataifa makubwa duniani.Hilary Clinton akishinda Uraisi wa Marekani inamaana ,Uingereza kwa sasa inatawaliwa na wamama wawili(Malkia na waziri mkuu aliyechukua nafasi ya waziri mkuu aliyejiuzulu).

Ujerumani inaongozwa na mwanamke.Sasa naona wanawake wanakuja juu kwa kasi ,kwa miongo mingine miwili nahisi wanaume watakuwa spices nyingine kabisa.

Sasa swali langu ni hili,Je wanaume wapi wamebaki?na wanafanya nini.Pili,je walipoambiwa watakuwa vichwa ,jewamekosea wapi au sisi wazazi au serekali tumefanya nini kwa malezi ya watoto wetu wa kiume.

Kingine tunashuudia ndoa za wanaume kwa wanaume(sikatai za wanawake kwa wanawake hazipo)ila hizi za wanaume zimeshamiri.Je tumekosa wapi?
H.Clinton atakuwa garasa tu pale, kuna WANAUME wenye nchi wanatoa orders!
 
H.Clinton atakuwa garasa tu pale, kuna WANAUME wenye nchi wanatoa orders!
Shida uwezi kumpongeza hata kidogo kwa sababu ya mfumo dume.Hata kama kuna mwanamme anaongoza.Akishinda yeye ndio rais semeni yote
 
Mwanaume ni mwanaume...

Mwanamke nae atabaki kua mwanamke. Mambo ya haki sawa ni ujinga mtupu...

Muhimu kila mmoja kutambua nafasi yake
Point.[emoji106] shida wanaume wanajihami mapema kuwa tunadai usawa.Kwa nafasi yangu na uanwake wangu naweza kufanya makubwa wakabaki wanasema mimi kichwa wakati wananig'inia tu
 
Back
Top Bottom