St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,641
- 11,201
Wanahitaji kuzungumza na mic huko ndio kwenye akili zetu. Bill Clinton mic yako bado inafanya kazi??[emoji15]
Umeona heee na busy kuwarudisha wanawake nyuma.Utakuta kila wakati wakimwona mwanamke anakata mbuga wanamtafutia sababu.Kuna mtu amesema Putin atatawala dunia kirahisi zubutu[emoji91] aone moto wa wamama.Hawataki kula kwa jasho kama walivyoambiwa
una busara sana aiseeNi jambo zuri kwa wanawake kushika hatam za uongozi
Ila kamwe mwanamke hawezi kutawala, kushika uongozi hakuna tatizo
Kama siyo kupoozwa wawe na amani moyoni basi wamewekwa kimkakati,siyo kuwadharau ila kamwe kidume atabaki kua kidume mpaka dunia itakapobomokaNiko naangalia CNN nikaanza kutafakari mambo mengi kimoja nikavutiwa na uchaguzi wa Marekani huku nikifuatilia kwa makini mijadala ya uraisi wa Marekani.
Lakini navutiwa na mwenendo wa sasa ambapo soon wanawake wanakuja juu kwa kasi kutawala mataifa makubwa duniani.Hilary Clinton akishinda Uraisi wa Marekani inamaana ,Uingereza kwa sasa inatawaliwa na wamama wawili(Malkia na waziri mkuu aliyechukua nafasi ya waziri mkuu aliyejiuzulu).
Ujerumani inaongozwa na mwanamke.Sasa naona wanawake wanakuja juu kwa kasi ,kwa miongo mingine miwili nahisi wanaume watakuwa spices nyingine kabisa.
Sasa swali langu ni hili,Je wanaume wapi wamebaki?na wanafanya nini.Pili,je walipoambiwa watakuwa vichwa ,jewamekosea wapi au sisi wazazi au serekali tumefanya nini kwa malezi ya watoto wetu wa kiume.
Kingine tunashuudia ndoa za wanaume kwa wanaume(sikatai za wanawake kwa wanawake hazipo)ila hizi za wanaume zimeshamiri.Je tumekosa wapi?
sawasawaIla kiukweli wanawake wanakuja juu sana, tazama hata Taasisi mbali mbali, vyama kama vikoba, semina za ujasilia mali na mambo mengi. Wanatafuta elimu kwa udi na uvumba ili kujikwamua na kukwamua familia zao kiuchumi.
Tofauti na sisi wanaume, tunashabikia mipira kuliko wanao faidika na hiyo mipira.. tumejawa na hanasa za kipumbuvu mpaka tunafikia kupenda dressing table kuliko wanawake. Simu zetu zimejaa magroup ya watsap ya hovyo hovyo, picha zote ni za kingono ngono na kuwadhalilisha mama zetu na dada zetu pamoja na wake zetu.
Muda huu tuna wadhalilisha. je umeshawah kujiuliza gharama gani tutakayo ipata kwa kuwa dhalilisha uko?
Ipo siku mwanamke ataingia na mwanaume kwenye ndoa kwaajiri kupigwa deki tu, na mwanaume ukatafuta aina nyingine ya kumaliza haja zako.
Kama sio sisi basi ni kwa watoto wetu wa kiume. Nafikiri hatuja chelewa sana. Ni muda wa kumjenga mtoto wako kama baba mtalajiwa. Ajue majukumu ya baba ni yapi? Na nini mtoto anastahili afanye ili kuwa na idea ya utafutaji kama mwanaume.
Nakumbuka zamani ili kuwa ni jambo rahisi kusikia fulani kaaga kwao kaenda sehemu fulani kutafuta. Ni wakati wetu kuwa katika umoja wenye nguvu mpya ili kuwajenga watoto wetu, kuwa wababa wa kesho.
Haiwezekani kila mtoto sasa hivi msanii, kila mtoto ana uhuru kupita uhuru wa Nchi. Nchi ina misingi yake, hivyo sio mbaya na sisi kama mababa kujenga familia yenye misingi imara ya kukua katika mazingira ya kiuchumi kama ndugu zetu wa Asia hapa nchini.
Mila tamuduni za wazazi wetu walizo tuachia ni za kuenziwa na za kuunga mkono hasa mila za kifamilia. Haiwezekani umlee mtoto wako kiasi kwamba anajua matunda yanaoteshwa kwenye frige!!
Kuna muda nilimwambia mke wangu, natamani sana kuanzisha DADIES EVENT, Lakini bahati mbaya nilimwambia wakati nimekula mmea wetu pendwa, Hakunijibu nikajua anahisi mmea ndio unaongea. Kwenye hii DADIES EVENT nilitaka tuwe na watu maalum wenye kujua mila na desturi za makabila, pili kukabiliana na ugonjwa wa wallet kuwa nyeupe, tatu changamoto za kifamilia, nne jinsi ya kuwapa malezi watoto na kuendeleza vipaji vyao na mwisho kuenjoy na Baber Q hisiyo kuwa na kilevi.
Umoja wetu kina baba ndio ushindi, na ushindi wetu ni ushindi wa familia zetu pamoja Taifa kwa ujumla.
NB Si mmesikia ukiwa huendi kwenye nyumba za ibada hawakuziki? Ni wakati wetu tusio na dini kuanzisha hiki kitu DADIES EVENT.
By
Kanyela mumo
Unauliza nafasi ya wanaume?Niko naangalia CNN nikaanza kutafakari mambo mengi kimoja nikavutiwa na uchaguzi wa Marekani huku nikifuatilia kwa makini mijadala ya uraisi wa Marekani.
Lakini navutiwa na mwenendo wa sasa ambapo soon wanawake wanakuja juu kwa kasi kutawala mataifa makubwa duniani.Hilary Clinton akishinda Uraisi wa Marekani inamaana ,Uingereza kwa sasa inatawaliwa na wamama wawili(Malkia na waziri mkuu aliyechukua nafasi ya waziri mkuu aliyejiuzulu).
Ujerumani inaongozwa na mwanamke.Sasa naona wanawake wanakuja juu kwa kasi ,kwa miongo mingine miwili nahisi wanaume watakuwa spices nyingine kabisa.
Sasa swali langu ni hili,Je wanaume wapi wamebaki?na wanafanya nini.Pili,je walipoambiwa watakuwa vichwa ,jewamekosea wapi au sisi wazazi au serekali tumefanya nini kwa malezi ya watoto wetu wa kiume.
Kingine tunashuudia ndoa za wanaume kwa wanaume(sikatai za wanawake kwa wanawake hazipo)ila hizi za wanaume zimeshamiri.Je tumekosa wapi?
Shida vidume wameanza kuwa hopeless na jinsi walivyo wachache kama sensa zinavyosema soon wanaume wata adimika kidhungu wanasema rare speciesKama siyo kupoozwa wawe na amani moyoni basi wamewekwa kimkakati,siyo kuwadharau ila kamwe kidume atabaki kua kidume mpaka dunia itakapobomoka
Haitakaa ikatokea.MUNGU hakukosea kutuumba,MWANAUME ni nguvu.bila vidume pilika zote za maisha duniani zitastopShida vidume wameanza kuwa hopeless na jinsi walivyo wachache kama sensa zinavyosema soon wanaume wata adimika kidhungu wanasema rare species
Haa swali zuri,mwanzoni alikuwa kichwa sasa siku zinavyokwenda naanza kuona nakuwa smart zaidi yake.Hata kuniamini na kiniachia majukimu mengine amekuwa muwazi na kuniamini kuwa naweza.Naishia hapo tu.Ila anitishi tena.Lakini nahisi amenipa nguvu sana na kuni support.Unauliza nafasi ya wanaume?
Mmeo huwa ana nafasi gani kwako?
Acha tuje kwa kasi tu... Mana wanaume wamelala
Usione wachache wenye udhaifu au wenye upole toka wameumbwa ukapotoka na kumdharau MWANAUMEUnajipa moyo tu!msipo chukua hatua na kusimamia nafasi zenu mtabaki mnajipiga vifua "sisi vidume"
Ila ameacha historia duniani,check Delila,Ester na wengine hawakuandikwa kwa sababu wanaume waliwaficha ndani makusudi.Sasa mtakoma lazima tutawale dunia,no vita,no nyumba ndogo haaaaa sipati pichaAchana na hao bibi vizee. Alikuwepo Cleopatra mwenyewe na hakukuwa na lolote.
Hahahaaa!! Haya bana.Ila ameacha historia duniani,check Delila,Ester na wengine hawakuandikwa kwa sababu wanaume waliwaficha ndani makusudi.Sasa mtakoma lazima tutawale dunia,no vita,no nyumba ndogo haaaaa sipati picha