Nashukuru sina group la hvyo wala picha za hvyo hvyo, sema kwenye mpira hapo daahhhIla kiukweli wanawake wanakuja juu sana, tazama hata Taasisi mbali mbali, vyama kama vikoba, semina za ujasilia mali na mambo mengi. Wanatafuta elimu kwa udi na uvumba ili kujikwamua na kukwamua familia zao kiuchumi.
Tofauti na sisi wanaume, tunashabikia mipira kuliko wanao faidika na hiyo mipira.. tumejawa na hanasa za kipumbuvu mpaka tunafikia kupenda dressing table kuliko wanawake. Simu zetu zimejaa magroup ya watsap ya hovyo hovyo, picha zote ni za kingono ngono na kuwadhalilisha mama zetu na dada zetu pamoja na wake zetu.
Muda huu tuna wadhalilisha. je umeshawah kujiuliza gharama gani tutakayo ipata kwa kuwa dhalilisha uko?
Ipo siku mwanamke ataingia na mwanaume kwenye ndoa kwaajiri kupigwa deki tu, na mwanaume ukatafuta aina nyingine ya kumaliza haja zako.
Kama sio sisi basi ni kwa watoto wetu wa kiume. Nafikiri hatuja chelewa sana. Ni muda wa kumjenga mtoto wako kama baba mtalajiwa. Ajue majukumu ya baba ni yapi? Na nini mtoto anastahili afanye ili kuwa na idea ya utafutaji kama mwanaume.
Nakumbuka zamani ili kuwa ni jambo rahisi kusikia fulani kaaga kwao kaenda sehemu fulani kutafuta. Ni wakati wetu kuwa katika umoja wenye nguvu mpya ili kuwajenga watoto wetu, kuwa wababa wa kesho.
Haiwezekani kila mtoto sasa hivi msanii, kila mtoto ana uhuru kupita uhuru wa Nchi. Nchi ina misingi yake, hivyo sio mbaya na sisi kama mababa kujenga familia yenye misingi imara ya kukua katika mazingira ya kiuchumi kama ndugu zetu wa Asia hapa nchini.
Mila tamuduni za wazazi wetu walizo tuachia ni za kuenziwa na za kuunga mkono hasa mila za kifamilia. Haiwezekani umlee mtoto wako kiasi kwamba anajua matunda yanaoteshwa kwenye frige!!
Kuna muda nilimwambia mke wangu, natamani sana kuanzisha DADIES EVENT, Lakini bahati mbaya nilimwambia wakati nimekula mmea wetu pendwa, Hakunijibu nikajua anahisi mmea ndio unaongea. Kwenye hii DADIES EVENT nilitaka tuwe na watu maalum wenye kujua mila na desturi za makabila, pili kukabiliana na ugonjwa wa wallet kuwa nyeupe, tatu changamoto za kifamilia, nne jinsi ya kuwapa malezi watoto na kuendeleza vipaji vyao na mwisho kuenjoy na Baber Q hisiyo kuwa na kilevi.
Umoja wetu kina baba ndio ushindi, na ushindi wetu ni ushindi wa familia zetu pamoja Taifa kwa ujumla.
NB Si mmesikia ukiwa huendi kwenye nyumba za ibada hawakuziki? Ni wakati wetu tusio na dini kuanzisha hiki kitu DADIES EVENT.
By
Kanyela mumo
Mchunguze isije ikawa anatumia pombe kali kama za Rombo.Haa swali zuri,mwanzoni alikuwa kichwa sasa siku zinavyokwenda naanza kuona nakuwa smart zaidi yake.Hata kuniamini na kiniachia majukimu mengine amekuwa muwazi na kuniamini kuwa naweza.Naishia hapo tu.Ila anitishi tena.Lakini nahisi amenipa nguvu sana na kuni support.
Ni wachache mnajitambua aisee ,wee angalia huku MMU jinsi wanaume wanalialia na wake zao.Ndio utakavyojua wanaume wamekwishaMchunguze isije ikawa anatumia pombe kali kama za Rombo.
Wanaume nafasi yetu iko pale pale
na itaendelea kudumu hakuna mbadala wake.
Wapo wachache wasiojua nafasi na majukumu yao ndio hasa mnawazidi akili na ujanja, na hata walikuwepo tangu zamani kwani twamsoma Baraka alikataa kwenda vitani bila Debora.
Kwangu mimi najitambua sio tu kwa kukoroma bali kwa kutekeleza wajibu wangu na hili nimejiridhisha kwani naona kila kukicha nina ushawishi kila kukicha na situmii nguvu wananikubali wenyewe kuwa ninafaa kuendelea kuaminiwa nao...
Sio kweli wapo wachache wasio jitambua, na mara nyingi waliaji na waomba ushauri(wanaume wa kichina) wengi ni vivulana au wasiojitambua kwan mambo ya ndani kati ya mke/me hayatakiwi kuvuka mlango wa chumbani. Mwanaume wa kweli hufa kiume na mke mwenye akili hujua namna ya ku handle mme wake.Ni wachache mnajitambua aisee ,wee angalia huku MMU jinsi wanaume wanalialia na wake zao.Ndio utakavyojua wanaume wamekwisha
Mmmmmh!!!Sio kweli wapo wachache wasio jitambua, na mara nyingi waliaji na waomba ushauri(wanaume wa kichina) wengi ni vivulana au wasiojitambua kwan mambo ya ndani kati ya mke/me hayatakiwi kuvuka mlango wa chumbani. Mwanaume wa kweli hufa kiume na mke mwenye akili hujua namna ya ku handle mme wake.
Duuuh ..very sad, mke aniache ndani afya na nguvu ni nanazo!!!Wanaume wamesahau majukumu yao, leo hii ukiamka alfajiri waliowengi ni akina mama wanakimbilia masokon kutafta rizki,ilhali mwanaume ameachwa ndani kalala, Sasa je km mwanaume ameshindwa kuihudumia familia ataweza huko nje? Wamebaki kusema wao ni vichwa vya nyumba wakati ki uhalisia familia nyingi zinaongozwa na wanawake.
Endeleeni kulala hvyo hvyo, mdogo mdogo mnapigwa bao.
Dadangu kipenzi upo!Mmmmmh!!!
Nipo kaka yangu.Dadangu kipenzi upo!
Nimesikitika kusoma rafiki yetu heaven sent kafiwa na babae jmnNipo kaka yangu.
Wanaume wamesahau majukumu yao, leo hii ukiamka alfajiri waliowengi ni akina mama wanakimbilia masokon kutafta rizki,ilhali mwanaume ameachwa ndani kalala, Sasa je km mwanaume ameshindwa kuihudumia familia ataweza huko nje? Wamebaki kusema wao ni vichwa vya nyumba wakati ki uhalisia familia nyingi zinaongozwa na wanawake.
Endeleeni kulala hvyo hvyo, mdogo mdogo mnapigwa bao.
Ndio hivyo mpendwa, yuko katika wakati mgumu mno sasa.Nimesikitika kusoma rafiki yetu heaven sent kafiwa na babae jmn
Mungu ampe farajaNdio hivyo mpendwa, yuko katika wakati mgumu mno sasa.
Huwa naichukia sana hii tabia ya wanawake kuomba haki sawaDada yangu (Mpendwa), usiangalie tu hao ambao walikuwa nominated na wakaukwaa uongozi wa juu tu.
Angalia Majority, yaani MP's wa nchi zote hizo huoni karibu wote ni wanaume?
Pia Jeshini, kuanzia macaptains mpaka mabregadia na Commandos ni Wanaume.
Angalia globally, marais wangapi ni Wanaume na wangapi ni wanawake?
Halafu Mwanaume ni "KICHWA" cha familia katika ndoa takatifu. According to the Bible na si vinginevyo.
AMENHuwa naichukia sana hii tabia ya wanawake kuomba haki sawa
Nasisitiza hakuna haki sawa kati ya MWANAUME na mwanamke
Siku Mwanamke atakapoweza kukojoa akiwa amesimama na mkojo uruke mita moja au zaidi mbele ndipo nitakapojua kuna haki sawa.Huwa naichukia sana hii tabia ya wanawake kuomba haki sawa
Nasisitiza hakuna haki sawa kati ya MWANAUME na mwanamke