Wanawake wasiokuwa na magari ni wachafu

Mpendwa jifunze kunyamaza pale unapokwaza.
Mtu akikuboa tu nyamaza kimyaaa maana kwa mwendo huo unaweza kuja kumtukana hata Mungu kwa kisingizio cha kuwa na hasira tu.
Mimi nimekusamehe na Mungu amekusamehe pia.
 
Kuomba radhi/ samahan ni kitendo cha busara na ungwana, naiman watakusamehe
 
"Umaarufu unatafutwa kwa njia nyingi, vijana jitahidini muwe maarufu, jamba hata mbele za watu ili uwe maarufu"
....mwl. kinshuli mwanza sec

kijana alikua anatafuta umaarufu

Dogo mjinga, kuna watu huwa wanafikiri kwa sababu ID ni fake basi wanaweza kutukana ovyo, nadhani kaelewa kosa lakini.
 
Huwa sipendi kuwa na uhusiano na wanawake wasiokuwa na gari. Mara nyingi mkipanga appointment atakuja na Bajaj au Boda boda.

Sasa anakuwa mchafu jasho na nini, mimi huwa sipendi kabisa. Mjitahidi mnunue hata vile vi IST au via Sienta (I mean hivi vigari vya kike vi nusu mkate).

Unakuta unamuita msichana labda aje Highspirit Posta ghorofa ya 10 anakuja na boda boda amejambiana na boda boda akija hapo miguu ina vumbii inabidi akimbie chooni kunawa.

Wanasema ninaringa ila mimi mwanamke asiekuwa na gari kwangu ni mchafu tuu.
unajua maana ya uchafu? unafikiri uchafu ni kutoka jasho pekee? hao wanawake unao waita uko hotel ni wakazi gani? huo ni uchafu mkuu! tena uchafu ambao hata Mungu atakutenga! unanuka!! uchafu umegawanyika kama ifuatavyo! 1. uchafu wa mwili! 2. uchafu wa tabia 3. Uchafu wa matendo. 4. Uchafu wa mameno=maneno machafu! na nk. WEWE UNAJIONA MSAFI KWA HAYO UNAYO YAFANYA! CHIZI WEWE!!
 
wewe ni wale ambao hata chupi ya kubadilisha huna
Kwa sababu baba yako anachupi moja tangu anamuoa mama yako basi unajua kila mwanaume anachupi moja.

Kifurugombe we!!nilikosea nikaomba msamaha..naona unanijibu shombo tena
 
Naomba Sana..mniwie radhi..mama zangu,Dada zangu na wanawake wote kwa ujumla..katika bandiko langu LA kuwa "wanawake wasio kuwa na magari wachafu" ( Wanawake wasiokuwa na magari ni wachafu)

Kusema kweli nilighafirika tu kutokana na MTU flan flan kunikwaza kwa hali ya juu.

Najuatia kosa langu na haikua nia yangu.sio kweli wasio kuwa na magari ni wachafu..natengua kauli yangu.poleni kwa usumbufu.

Asalam aleykhum.
Wastahili kupakatwa:)
 
Mtoa post hujielewi naninahakika ata baiskel huna unajishebedua tu. Mama yako na Ndugu zako niwachafu? inawezekana unalala ubarazani
 
Mpendwa jifunze kunyamaza pale unapokwaza.
Mtu akikuboa tu nyamaza kimyaaa maana kwa mwendo huo unaweza kuja kumtukana hata Mungu kwa kisingizio cha kuwa na hasira tu.
Mimi nimekusamehe na Mungu amekusamehe pia.
Thanks a lot
 
WAKUSOMA ulikuja kwa madai kibao oooh sijui wazazi wangu oooh sijui magari,usafi!..nikasubiri number ya simu nije kuona magari! Mfyyuuuuuuu kumbe huna lolote umbulula tu ndo ulikujaa kichwani!....Mfyuuuuuu sepa zako hukoooooo!

Mtu mmoja akakufanya uchafue jukwaa ma mapovu mengi ili iweje kwann msinge malizana wenyewe?

Mfyuuuuuuuuuuuuu.....lione
 
MTU akikosea akaomba radhi means amelitambua kosa lake.Kama ambayo nimefanya.

Mbona bado mnanishambulia??kuweni waungwana basi..matusi yanatoka wapi??

Kwamba Mimi muhaya..ni kweli..kwamba tuna magari zaidi ya moja hilo masaki mzima wanajua..kuwa tumesoma(wanasheria)hilo Tanzania inajua.

All in all nimeomba msamaha.. Kwa post ile Wanawake wasiokuwa na magari ni wachafu
 
Back
Top Bottom