Wanawake wasiochepuka hawana mvuto ni manungayembe

Kumbe anatafuta kiki tu!
Haya tumuulize msafisha kucha alimuoa?
Ashamaliza kusema hapo juu hakuna Hata Baja ya kumuuliza. Yeye ni mzuri lazima atumike na wanaume hapa anatangaza soko la kutongozwa humu ndani.
 
Mwanamke aliyekamilika anatongozwa muda wote ktk maisha yake kwa mitindo tofauti tofauti. Atakarimiwa vizuri, atasalimiwa mara kwa mara, atapewa lift, atasaidiwa kupata kazi, atapewa mialiko mingi ya lunch, atapata huduma hata kwa upendeleo ktk maofisi mbalimbali, n.k.

Kwahiyo inakuwa ngumu sana kuwakwepa wanaume wote hawa wanao onesha nia ya kutaka tunda. Maana kwa wingi wao huo kuna baadhi ambao watagusha mishipa ya hisia za malavidavi ya mwanandada na kumfanya akose usingizi kwa siku kadhaa.

Sasa hata kama ameolewa, kwa kuwa taasisi ya ndoa imejaa karaha za misuguano (ndiyo maana wahenga wakasema ndoa inahitaji uvumilivu), kuna muda mwanadada atahitajj kupata pumziko toka kwa huyo sumaku aliyewahi kumpa lunch. Atachepuka.

Dada aliyekamilika pia hawezi kuvumilia mapungufu ya mwanaume kitandani, huku kukiwa na lundo la wakware wanaoweza kumpa ladha mpya. Dada atatoa tunda na atakuwa kabadili ladha na amepata raha. Atachepuka.

Wale wenzangu na mm wenye sura wasiwasi na shape za kulazimisha, bila kusahau rangi za mikorogo. Hawa wakiombwa namba ya simu tu, j2 inayofuata hutoa sadaka ya shukurani wakiamini kuwa mkware huyu kaletwa na mungu. Kumbe mhuni anataka kukata kiu tu wakati akisubiria mdada aliyekamilika aingie laini. Wadada kama hawa wakiolewa hawathubutu kuchepuka. Maana hata kuolewa kwao ni kwsabb wamepachikwa mimba Kwahiyo bahati mbaya. Masingo maza wengi wamepatikana kwa mtindo huu. Jamaa alikuwa anapumzika kwa muda mara mimba, jamaa linagoma kuoa.

My take: ewe mwanaume kama mkeo hajawahi kuchepuka mchunguze kwa vigezo vya uzuri. Anavyo? Naamimini hana.

Kama anavyo na hachepuki na haumwi ugonjwa wowote basi ni kwamba hujamsitukia tu.

Tchao!!
Kiufupi naona umechemsha na kuna dhambi unataka kuitetea.acha kujaza wake za watu tamaa itakayowaletea madhala kwao,wakisoma maneno yako haya wasiojiongez watakurupuka na wataishia kuhalibu ndoa zao waje wajute baadae.haijalishi mapungufu ya ndani ya nyumba lakini wasipokua wavumilivu na kushirikiana na waume zao kutatua changamoto wataachika kila siku.we hata huoni kundi la wanawake mitaani wana watoto lakini hawana waume,kwa % kubwa walikua na akili kama hizi ulizozisema hapa na wakajikuta wanakua single na kuhangaika
 
K

Joanah siyo rahisi kama unavyofikiri. Maana unakuwa umezongwa na kuzungukwa options hadi unajihisi kana kwamba wewe ni malikia. Simu imejaa mobile money, muda wa maongezi ndiyo usiseme, lunch za kufa mtu favour za kila aina. Yote haya unafanyiwa ili utoe kitu tunda. Mwishowe unaishia kujiuliza "kwani hii ni sabuni kwamba itaisha nikimpa?
Ndio shida ya kuoa changudoa km ww,mmeo ana hasara,vijana kuweni makini kweny suala la kuoa.ww kajiuze tu barabarani ukatumike huko
 
Mwanamke aliyekamilika anatongozwa muda wote ktk maisha yake kwa mitindo tofauti tofauti. Atakarimiwa vizuri, atasalimiwa mara kwa mara, atapewa lift, atasaidiwa kupata kazi, atapewa mialiko mingi ya lunch, atapata huduma hata kwa upendeleo ktk maofisi mbalimbali, n.k.

Kwahiyo inakuwa ngumu sana kuwakwepa wanaume wote hawa wanao onesha nia ya kutaka tunda. Maana kwa wingi wao huo kuna baadhi ambao watagusha mishipa ya hisia za malavidavi ya mwanandada na kumfanya akose usingizi kwa siku kadhaa.

Sasa hata kama ameolewa, kwa kuwa taasisi ya ndoa imejaa karaha za misuguano (ndiyo maana wahenga wakasema ndoa inahitaji uvumilivu), kuna muda mwanadada atahitajj kupata pumziko toka kwa huyo sumaku aliyewahi kumpa lunch. Atachepuka.

Dada aliyekamilika pia hawezi kuvumilia mapungufu ya mwanaume kitandani, huku kukiwa na lundo la wakware wanaoweza kumpa ladha mpya. Dada atatoa tunda na atakuwa kabadili ladha na amepata raha. Atachepuka.

Wale wenzangu na mm wenye sura wasiwasi na shape za kulazimisha, bila kusahau rangi za mikorogo. Hawa wakiombwa namba ya simu tu, j2 inayofuata hutoa sadaka ya shukurani wakiamini kuwa mkware huyu kaletwa na mungu. Kumbe mhuni anataka kukata kiu tu wakati akisubiria mdada aliyekamilika aingie laini. Wadada kama hawa wakiolewa hawathubutu kuchepuka. Maana hata kuolewa kwao ni kwsabb wamepachikwa mimba Kwahiyo bahati mbaya. Masingo maza wengi wamepatikana kwa mtindo huu. Jamaa alikuwa anapumzika kwa muda mara mimba, jamaa linagoma kuoa.

My take: ewe mwanaume kama mkeo hajawahi kuchepuka mchunguze kwa vigezo vya uzuri. Anavyo? Naamimini hana.

Kama anavyo na hachepuki na haumwi ugonjwa wowote basi ni kwamba hujamsitukia tu.

Tchao!!
Kwa wanadamu hilo haliwezekani lakini kwa Mungu yote yanawezekana likiwemo na hilo.(luka 1:37),,pia ni kawaida kwa mchepukaji kufikiri kuwa wote ni wachepukaji kama yeye.
 
Mwanamke aliyekamilika anatongozwa muda wote ktk maisha yake kwa mitindo tofauti tofauti. Atakarimiwa vizuri, atasalimiwa mara kwa mara, atapewa lift, atasaidiwa kupata kazi, atapewa mialiko mingi ya lunch, atapata huduma hata kwa upendeleo ktk maofisi mbalimbali, n.k.

Kwahiyo inakuwa ngumu sana kuwakwepa wanaume wote hawa wanao onesha nia ya kutaka tunda. Maana kwa wingi wao huo kuna baadhi ambao watagusha mishipa ya hisia za malavidavi ya mwanandada na kumfanya akose usingizi kwa siku kadhaa.

Sasa hata kama ameolewa, kwa kuwa taasisi ya ndoa imejaa karaha za misuguano (ndiyo maana wahenga wakasema ndoa inahitaji uvumilivu), kuna muda mwanadada atahitajj kupata pumziko toka kwa huyo sumaku aliyewahi kumpa lunch. Atachepuka.

Dada aliyekamilika pia hawezi kuvumilia mapungufu ya mwanaume kitandani, huku kukiwa na lundo la wakware wanaoweza kumpa ladha mpya. Dada atatoa tunda na atakuwa kabadili ladha na amepata raha. Atachepuka.

Wale wenzangu na mm wenye sura wasiwasi na shape za kulazimisha, bila kusahau rangi za mikorogo. Hawa wakiombwa namba ya simu tu, j2 inayofuata hutoa sadaka ya shukurani wakiamini kuwa mkware huyu kaletwa na mungu. Kumbe mhuni anataka kukata kiu tu wakati akisubiria mdada aliyekamilika aingie laini. Wadada kama hawa wakiolewa hawathubutu kuchepuka. Maana hata kuolewa kwao ni kwsabb wamepachikwa mimba Kwahiyo bahati mbaya. Masingo maza wengi wamepatikana kwa mtindo huu. Jamaa alikuwa anapumzika kwa muda mara mimba, jamaa linagoma kuoa.

My take: ewe mwanaume kama mkeo hajawahi kuchepuka mchunguze kwa vigezo vya uzuri. Anavyo? Naamimini hana.

Kama anavyo na hachepuki na haumwi ugonjwa wowote basi ni kwamba hujamsitukia tu.

Tchao!!
Kwel mtengeneza kucha kafanya yake... Ila ucjishushe kupita kiasi, apo tu inatosha... Ucje unafanya n wenzio wajione hamnazo kam ww, ishia apo apo tu inatosha
 
Dume hilo
Ata kama.. Ni message gan sasa hii kaileta kwa wanaJF? Asee me mwenyewe nna mambo ya kijinga tena sana tu yan as if cjielew samtymz bt cwez kufikia uku alikofikia uyu mwenzetu.... Its lyk anahalalisha haramu! Ctoweza, kaniboa sana tho me kidume
 
Nimeolewa mwaka4 cjawah kuchepuka na sifikikilii kuchepuka. Na nikiweka picha yangu humu najua watajitokeza wengi kunitaka.

Tatizo namuheshimu sna Mungu wangu.
Mulungu na akutaze [emoji205]
 
Ndo shida za kubebaga wanawake wa kwenye madanguro kwa mtazamo kwamba utamrekebisha, yeye alishazoea kila type kama hao waosha kucha halafu unamweka ndani wako pekee mpaka kifo ,never. Jamani vijana mnapooa kuweni makini.
Unaleta nyoka ndan utegemee nn? Lazma atamis porini tu cku1....
 
Huu sio ujumbe wenye afya kwa jamii,hasa ukizingatia,una wadogo zako,wa kike na kiume unawafundisha nini ?
Wenye wake na waume
Wanakuelewa je ?
Mila na desturi zetu,dini,unatafsirika vipi ? Mmh ! Kama ndo mwendo kasi huu unaoenda nao,basi abiria umedondoka,kabla ya kasi yenyewe.
Mila na desturi zimefeli kuzuia uzinzi.
Dini zimefeli kuzuia uzinzi. Ni wakristo wangapi Wanachepuka? Mpk makasisi wanachepuka. Ni waislam wangapi wenye michepuko? Mpk mashekhe wanachepuka.

Hii kitu
Sio watu wote ni binadamu, wengine ni malaika wa kule wanaojifanyanya watu. Wakitumia mitandao kama sisi, kutembea kama sisi, kula kama sisi, kuvaa kama sisi na zaidi kuupotosha umma kwa mawazo yao machafu kama haya.
Tumekushtukia, rudi ulikotoka.
Hapana Mkuu. Usiseme hivyo, utachelewa kufika kwenye kiti cha enzi. Imeandikwa ole wao wasemao bwana bwana.........
 
Kiufupi naona umechemsha na kuna dhambi unataka kuitetea.acha kujaza wake za watu tamaa itakayowaletea madhala kwao,wakisoma maneno yako haya wasiojiongez watakurupuka na wataishia kuhalibu ndoa zao waje wajute baadae.haijalishi mapungufu ya ndani ya nyumba lakini wasipokua wavumilivu na kushirikiana na waume zao kutatua changamoto wataachika kila siku.we hata huoni kundi la wanawake mitaani wana watoto lakini hawana waume,kwa % kubwa walikua na akili kama hizi ulizozisema hapa na wakajikuta wanakua single na kuhangaika
Mkuu tatizo la masingo mama ni zaidi ya usemacho. Kuna akina kaka wanaenda kuomba uchumba kwa akina dada wakiwa kauzu keeling kweli, kumbe wanataka kupumzika kwa muda
 
Sifa ulizotaja ni za vicheche.
Mwanamke hata akiwa mrembo asiyekicheche huwa sio rahisi kutongozwa hovyo. Mwanamke asiyejifanya chipu huo sio rahisi kupewa mialiko na lifti za hovyo na wanaume wakikutana na ke siriaz hunywea
 
Back
Top Bottom