kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,998
- 2,414
Dume hiloSexless inaelekea wewe ni moto chini
Dume hiloSexless inaelekea wewe ni moto chini
Aendelee kuzichezea za kila sizeAcha watu wamtafune bado mimba ya mbeba zege apo na bodaboda hongera mama kigawe tu ulipewa bureeee
Kama kawaida ,binadamu hatuna jema
Achepuke ili iweje sasa wakati kashaolewa?
Kuchepuka ama kutochepuka ni maamuzi
Bila shaka utakuwa wakala wa ibilisi.Mwanamke aliyekamilika anatongozwa muda wote ktk maisha yake kwa mitindo tofauti tofauti. Atakarimiwa vizuri, atasalimiwa mara kwa mara, atapewa lift, atasaidiwa kupata kazi, atapewa mialiko mingi ya lunch, atapata huduma hata kwa upendeleo ktk maofisi mbalimbali, n.k.
Kwahiyo inakuwa ngumu sana kuwakwepa wanaume wote hawa wanao onesha nia ya kutaka tunda. Maana kwa wingi wao huo kuna baadhi ambao watagusha mishipa ya hisia za malavidavi ya mwanandada na kumfanya akose usingizi kwa siku kadhaa.
Sasa hata kama ameolewa, kwa kuwa taasisi ya ndoa imejaa karaha za misuguano (ndiyo maana wahenga wakasema ndoa inahitaji uvumilivu), kuna muda mwanadada atahitajj kupata pumziko toka kwa huyo sumaku aliyewahi kumpa lunch. Atachepuka.
Dada aliyekamilika pia hawezi kuvumilia mapungufu ya mwanaume kitandani, huku kukiwa na lundo la wakware wanaoweza kumpa ladha mpya. Dada atatoa tunda na atakuwa kabadili ladha na amepata raha. Atachepuka.
Wale wenzangu na mm wenye sura wasiwasi na shape za kulazimisha, bila kusahau rangi za mikorogo. Hawa wakiombwa namba ya simu tu, j2 inayofuata hutoa sadaka ya shukurani wakiamini kuwa mkware huyu kaletwa na mungu. Kumbe mhuni anataka kukata kiu tu wakati akisubiria mdada aliyekamilika aingie laini. Wadada kama hawa wakiolewa hawathubutu kuchepuka. Maana hata kuolewa kwao ni kwsabb wamepachikwa mimba Kwahiyo bahati mbaya. Masingo maza wengi wamepatikana kwa mtindo huu. Jamaa alikuwa anapumzika kwa muda mara mimba, jamaa linagoma kuoa.
My take: ewe mwanaume kama mkeo hajawahi kuchepuka mchunguze kwa vigezo vya uzuri. Anavyo? Naamimini hana.
Kama anavyo na hachepuki na haumwi ugonjwa wowote basi ni kwamba hujamsitukia tu.
Tchao!!
Mkuu acha kufukua makaburiHalafu jamaa ni ana mkanganyiko wa jinsia
https://www.jamiiforums.com/threads/dada-toa-hicho-kidole-basi.1239536/
Sio kwamba sina, wewe ndiye umenikata 'stimu'
Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!
Dada aangua kilio kwenye ghetto baada ya mshikaji kumwambia alikuwa anataka kupima oil tu
Amuacha mkewe kisa mkewe hapendi utani
Dada atolewa nje akiwa nusu mtupu, kisa hataki kuiweka Mubashara!
Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!
Na unaweza kukataa kuchepukaUnaweza kuamua ukakosa wa kukuchepusha
Joanah siyo rahisi kama unavyofikiri. Maana unakuwa umezongwa na kuzungukwa options hadi unajihisi kana kwamba wewe ni malikia. Simu imejaa mobile money, muda wa maongezi ndiyo usiseme, lunch za kufa mtu favour za kila aina. Yote haya unafanyiwa ili utoe kitu tunda. Mwishowe unaishia kujiuliza "kwani hii ni sabuni kwamba itaisha nikimpa?Na unaweza kukataa kuchepuka
Kwa hiyo ndio ukampa tunda ukapokea mimba?K
Joanah siyo rahisi kama unavyofikiri. Maana unakuwa umezongwa na kuzungukwa options hadi unajihisi kana kwamba wewe ni malikia. Simu imejaa mobile money, muda wa maongezi ndiyo usiseme, lunch za kufa mtu favour za kila aina. Yote haya unafanyiwa ili utoe kitu tunda. Mwishowe unaishia kujiuliza "kwani hii ni sabuni kwamba itaisha nikimpa?
Kweli wewe ni sexless! Ila uache kupotosha jamii kwa kuhalalisha uzinzi.
Mapungufu yako usihamishie kwa wengine!
Una kila dalili za uagent wa shetani!
Uongo mtupu. Mwanamke anaejielewa hachepuki hata kama anatongozwa vipi. Ukiona hivyo huyo malaya tu si vinginevyo.
Ukiona hivyo hujui thamani yako, ndo mana umeweza kupewa mimba hovyo.
Hujawaelewa wanaume ndio maana unafikiri unavutia kuliko mimi nisiye chepuka!Jamani tuache unafiki. Hizi nyumba ndogo zooote nchi hii zimeletwa na uhamasishaji upi? Naomba jibu. Mnijibu kwamba kabla ya msemaji fulani ama kampuni fulani ya kutangaza ama kufundisha uzinzi kulikuwa hakuna michepuko. Acheni hizo bhana. Kuna wengine humu mnatoa komenti huku mkiwa mmelala kwenye vifua vya michepuko