Wanawake wasiochepuka hawana mvuto ni manungayembe

Mapungufu yako usihamishie kwa wengine!
Una kila dalili za uagent wa shetani!

Mapungufu wanayo wasiochepuka, wenye sura na shepu zao wanajikuta tu wanahitaji kuchepuka. Kwao kuchepuka ni inevitable.
 
UNAHITAJI USHAURI NASAHA
Siyo kweli mkuu. Niko vizuri upstairs kuliko unavyofikiri. Waafrika wengi mnakabiriwa na unafiki. Ndiyo maana wazungu wameamua kuweka wazi kila kinachoendelea ktk jamii zao.
 
Nakupa pole sana, Yesu bado anaokoa!
Na hili ni tatizo kubwa sana ktk jamii. Wengi wenu dhambi ni uzinzi tu. Tena uzinzi wa kutoka na mtu. Lkn ule wa kuishi na mtu bila ya ndoa hamuuoni.

Maneno ya masengenyo kwenu siyo dhambi, hukumu mnayonipa hapa siyo dhambi. Ubinafsi mlionao huko mitaani kwenu siyo dhambi. Mnawapenda majirani zenu kama mnavyojipenda? Mbona una gari jirani yako hana? Mbona una TV jirani yako hana?

Mambo ya mungu tumuachie mwenyewe
 
Kama kawaida ,binadamu hatuna jema

Achepuke ili iweje sasa wakati kashaolewa?
Kuchepuka ama kutochepuka ni maamuzi
Daha..numekupendaje kwa jibu lako..wewe ni Mke kabisa...Hongera sana
 
Ooh Lord!
Pamoja na huo uchafu wote unaofanya na kutaka kuomba watu wakuhalalishie,hebu nijibu haya maswali.
1.Tupe vigezo vya mwanamke aliyekamilika!
2.wewe umeolewa kwa vigezo vipi?
Ukipata majibu utawaomba msamaha wake walioelewa na kutulia kwenye ndoa zao na kufurahia maisha na familia zao.
 
Mweeh jamani hope umenikot kimakosa
 
Na hili ni tatizo kubwa sana ktk jamii. Wengi wenu dhambi ni uzinzi tu. Tena uzinzi wa kutoka na mtu. Lkn ule wa kuishi na mtu bila ya ndoa hamuuoni.

Maneno ya masengenyo kwenu siyo dhambi, hukumu mnayonipa hapa siyo dhambi. Ubinafsi mlionao huko mitaani kwenu siyo dhambi. Mnawapenda majirani zenu kama mnavyojipenda? Mbona una gari jirani yako hana? Mbona una TV jirani yako hana?

Mambo ya mungu tumuachie mwenyewe
Wewe ndio umesema dhambi ni uzinzi tu!
 
Pamoja na huo uchafu wote unaofanya na kutaka kuomba watu wakuhalalishie,hebu nijibu haya maswali.
1.Tupe vigezo vya mwanamke aliyekamilika!
2.wewe umeolewa kwa vigezo vipi?
Ukipata majibu utawaomba msamaha wake walioelewa na kutulia kwenye ndoa zao na kufurahia maisha na familia zao.
Angalia Wale mamiss. Siyo unapiga selfie ya sura kumbe huku chini una umbo la dolphins. Chura huna. Ama una chura sura inatisha. Ama umenepeana minyama inalegea. Amtake nani mtu kama huyo? Yupo kama tuta la viazi.

Kuna wengine utakuta weupe lkn miguu kama chelewa vidole kama namba saba ya kirumi
 
Yaani yuko kama finyofinyo mawazo yake .... Sa unayechepuka unapata nini cha ziada zaidi ya kujichoresha .... Na sintachepuka ng'oooo Eeh Mwenyezi Mungu naomba nisaidie.
 
ukichepka malaya usipochepka huna mvuto

mvuto niliona anaujua mtu mmojana ndio alioridhika nao hawa wengine haiwahusu.
 
Angalia Wale mamiss. Siyo unapiga selfie ya sura kumbe huku chini una umbo la dolphins. Chura huna. Ama una chura sura inatisha. Ama umenepeana minyama inalegea. Amtake nani mtu kama huyo? Yupo kama tuta la viazi.

Kuna wengine utakuta weupe lkn miguu kama chelewa vidole kama namba saba ya kirumi
mkuu kwani povu la nini?

ili mradi anae mt*mbaji

hata akichepuka midushe ya huko ndo hunenepeshaga hizo chelewa?
 
Sio watu wote ni binadamu, wengine ni malaika wa kule wanaojifanyanya watu. Wakitumia mitandao kama sisi, kutembea kama sisi, kula kama sisi, kuvaa kama sisi na zaidi kuupotosha umma kwa mawazo yao machafu kama haya.
Tumekushtukia, rudi ulikotoka.
 
Back
Top Bottom