Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.
hahaaaa ni kama katunga vile
hard to believe
hahaaaa ni kama katunga vile
hard to believe
Mkuu notifeki mbona tulikubaliana hawa viumbe tusiwahonge tunawalemaza.
Kama hujajaaliwa uzuri utaishia kusema "hard to believe". Kama nna magari matatu nifanyeje?
Notifeki,
storifeki!
Nani alikudanganya Magari, fedha na Vocha zinanunua mapenzi.....Mwenzio ana wa moyoni mwake wanasaidia kutosoa mapene unayompa.....tehe tehe teheeeeeeeeeee ukiona kabeep tena mtumie laki kwani 20 hazimtoshi kulonga ya kimahaba na laazizi wake.Wanawake wengine hamna shukrani kabisa eti mtu nimempa gari, nampa hela ya mafuta, nampa hela ya vocha, nampa hela ya shoping, sasa hv amenibeep mara tano kwenye simu. Na akija nmnyang'nya gari langu then namtosa akawabeep wajinga wenziye. Vocha nimempa elf20.
Mpe moja mama ako kule kijijin sitimbi .......
uzuri ni moja ya sifa yangu kuuuubwaaaaaa
una lingine??????????
unaakili wewe
hilo jibu au swali...........?