Wanawake warefu wana raha yake.

Napenda wanawake warefu. Ni wazuri sana. Mwanamke mfupi kwangu itokee tu[hilal kipozeo voice] ila kutoka moyoni mwangu napenda wanawake warefu.

Naunga mkono hoja mia kwa mia... wafupi itokew tu kaamua kunitunuku ila moyon hawapo
 

what! u 5.9 kweli wee utakuwa really tall and attractive....plz plz plz will u date me. yaani ukipiga heels mbona nikitoka nawe nitafurahi sana.
 
hahaha kwanza leo umenichomesha maindi mpaka nimekoma. jamani hutaki mie kuwaringishia vidume wengine ukiwa umevaa kicondom

Heheheeeeeeeee mahindi tu ngoja siku nikuchomeshe maharage....afu unakoerekea ntakuanzishia uzi
 
Napenda wanawake warefu. Ni wazuri sana. Mwanamke mfupi kwangu itokee tu[hilal kipozeo voice] ila kutoka moyoni mwangu napenda wanawake warefu.

Neema hizo za Allah ! je, ni ipi unaikanusha ?........basi uwe na shukurani
 
Mie ni mrefu pia cna nkitembea mimacho kodo leta ngo'ombe
 
Teh teh kwi kwi kwi koh koh koh...Nimepaliwa kazi ipo
 
Kwa hiyo ukiwazaa watoto wafupi hautawapenda? Vipi wewe kama ungezaliwa mfupi? Ungejiua?

Pole mkuu. Usijali mkuu ya humu yasikukatishe tamaa. Wala sio maoni ya jamii yote,ni maoni ya watu wachache..jiamini mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…