Wanawake warefu wana raha yake.

Wanawake warefu wana raha yake.

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,951
Mimi napenda watoto warefu 5.8ft na kuendelea.
Huwa nafurahia sana kuwa mwanamke mrefu, maana hata ukimkunja anakujika vizuri. Halafu sasa itokee mmetoka nae out kapiga pamba za ukweli dah msukuma mimi raha mpaka kwenye nywele.

Sipendi tipwa tipwa, sipendi wenye makalio makubwa.

Napenda toto inayojua kutunza nywele. Mimi msukuma mimi najisikia kweli na huyo mtoto anakuwa malkia kwangu.
 
Hayo ni maoni yako usitake kila mtu abebe dhana yako mkuu.
 
kweli bwana tall ladies ata mie napenda tena nataka yule akivaa high heels anipite kidogo urefu. that feeling ya kana kwamba she dominating me full burudaniiii.

alafu awe anavaa dresses na anabana belt kiunono loh...utamtaka.
last but not least warefu full upole. wafupi wakorofi sana.
 
Dah yaani hawa watoto wananikuna mno. Halafu sauti ya upole yaani raha tupu.
 
Kwa raha zenu na mapenzi yunu ya warefu,wafupi watulize na wasipite pande zenu.....
 
Kutunza ni jadi yangu. Mtoto akikohoa lazima niwe karibu

huyo tall wako uliyenae unamfanyiaga wapi shoping??siku gani katika wiki na mara ngapi katika mwezi???
na huwa unamnunulia nini
kudhibitisha KAULI YAKO KWAMBA UNATUNZA
 
kweli bwana tall ladies ata mie napenda tena nataka yule akivaa high heels anipite kidogo urefu. that feeling ya kana kwamba she dominating me full burudaniiii.

alafu awe anavaa dresses na anabana belt kiunono loh...utamtaka.
last but not least warefu full upole. wafupi wakorofi sana.

umesahau mkuu...tena ni wabishi na wanajifanya wanajua kila kitu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom