Wanawake warefu na weupe punguzeni dharau

Mtoa mada hata kuandika tu ujui au umesoma koromije ..eti reo badala ya Leo, zarau, badala ya dharau
 
Mimi huwa nawaona kama siwaoni vile, unastukia wenyeweee wanajileta unagonga Kama kumsukuma mlevi! Tatizo lenu vijana mnajinyenyekeza mno mpaka mnaonekana kama sisimizi! Ukionesha kutowazuzukia wao watakwambia Manjagata unaringa wewe!!! Sasa hspo ushindwe wewe tu!
 
Mkuu kwani wewe ni Andunje?
 
Hii inaitwa bampa 2 bampa

Jana kuna member humu alileta uzi usemao "Wanaume warefu weupe wanaringa" leo na wewe umekuja na uzi wenye maudhui yale yale,

Sasa je, hao viumbe wengine wasiokuwa warefu na weupe mnawaweka katika kundi gani?
 
Reo= leo
Bola=bora
Jitahidi kuwa makini kwenye herufi hizi mkuu, asante kwa kunielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…