Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,709
- 51,135
Muhuni ni muhuni tu anaweza asivute bange Ila anakuwa na vitabia vya ajabuajabu....umetoka nae out utashangaa tu kavua shati ghafla anapigana wakati ni Jambo tu linazungumzikaTuko Advanced zaidi, hatuvuti bange wala sigara ila uhuni upo integrated! 😀
au muhuni anajua set ya cosrx snail woiii ebu watuache tunatunza uso zetu kwa gharama sana tuepukane na makunyazi mashangazi sisi
